JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nilikua naomba msaada wa kiufundi kuhusu Suzuki SX4. Mchanganuo kuhusu hii gari ukilinganisha na zingine
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi. Nina swali kwenu. Mfano umekatia gari yako bima kubwa (premium) ambayo wakati wa kukatia bima ilithaminishwa kwa gharama ya 12m. Hapa gari yako ushakaa nayo miaka mitatu. Je...
5 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu nipo njia panda niende upande upi kati ya hizo gari, nataka gari ambayo haizidi cc1500 ipi nzuri hapo.
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari za majukumu ndugu zanguni, Kama kichwa kinavyojieleza, naomba conection walau nusu saa au chini ya nusu saa kuendesha gari ya manual kubwa kama coaster au tata walau wiki mja tuu ili...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenye kufahamu bei ya pikipiki tajwa kwa Dar anisaidie, sipo Dar ila kama ni muuzaji na una reasonable price tutawasiliana na kusafirisha!
0 Reactions
19 Replies
29K Views
Wakuu, Naomba taarifa kuhusu hii VW MODEL Nini mapungufu yake ya mara kwa mara (common problems)? Strength zake ni zipi? VW Tiguan
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Naulizia bei ya kile kitaa kidogo cha chini cha harrier upande wa nyuma Picha
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako...
14 Reactions
40 Replies
9K Views
Kiukweli mi naikubali hii gari, kwanza mwonekano wake ni Luxury halafu pia iko tough kwa masafa marefu. Wadau mnasemaje kuhusiana na mambo ya kiufundi, ubora, bei, na mengine mengi juu ya hii gari?
2 Reactions
39 Replies
18K Views
Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na...
4 Reactions
51 Replies
11K Views
Wakuu naomba tusaidiane kujua uimara na udhaifu wa hio gar mana nimeiona nikasema ngoja nishee nanyi hapa ili wadau muidadavue hasa kwa wale wenye nayo Ina cc 1340 hivo najua kuna wadau wanaweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wangu! Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta wanapotoa kozi za magari makubwa ya kusafirishia mafuta na mizigo kwa gari kubwa anataka kujifunza kuendesha hayo magari kwa anaejua au anahusika msaada...
0 Reactions
30 Replies
18K Views
Gari ina namna moja tu ya kufidia endapo nguvu itazalishwa kidogo, ambayo ni kuongeza kiasi cha mafuta. Engine ya gari ili iweze kuzalisha nguvu iliyokusudiwa ni lazima kuwe na mafuta, Cheche...
11 Reactions
7 Replies
3K Views
Sijajua kama na tabia za madalali wa vitu vingine zipo hivi. Lakini nmewalenga sana madalali wa magari. 1. Lower your expectations. Huwa mnakuwa na matarajio makubwa sana mkishapata mteja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habar za weekend, Ndugu yenu nimejichanga nataka na mimi nimiliki gari na hii ndo mara yangu ya kwanza kumiliki usafiri. Nimeona kabla sijafanya maamuzi nije kwenu wakuu mnishauri mawili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Milango ya abiria ya noah road tourer, ikifunga haibani vizuri, hata mifumo ya umeme haifiki vizuri, ukifunga kuna uwazi, shida inaweza kuwa nini wataalam na ufumbuzi wake ni nini?msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,, sijui ndio ushamba au ndio kukosa maarifa ya kibiashara (business strategies"), au ni ulimbukeni!!??? Kusema ukweli nashindwa...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…