Wasaalam ndugu wa jf garage.
Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika...
Naombeni mautaalamu hapa hivi ni nini kinafanya huo moto unatokea hapo nyuma? Nimewatch sana hio video, ila bongo kuja kumiliki hzo ndinga tunasafar ndefu sana.
Jamani mwenye uzoefu wa hizi gari Nissan Hard Bord D22 hii huwa kuna muda ukiiwasha inaweza ikaenda vizuri ila katikati ya safari ina poteza nguvu mpaka uizime uwashe tena na kuikanyaga lesi ndipo...
Wajuzi ebu mnisaidie hapo, nahitaji moja ambayo ni durable, imara, less consuming(fuel), availability of spare na ziko cheap. Dukani hawaaminiki Sana wanasema kulingana na bidhaa walizonazo...
Wadau,
Naomba mnijuze
Kwanini gari yenye cc zinazofanana zinaweza kuwa na speed tofauti?
Kwa mfano za ki-Japan mwisho 180km/h wakati za Ulaya (Germany) zipo mpaka 240.
Je, ni kitu gani...
Wapendwa,
Gari yangu ina tatizo Hili, ikiwa kwenye mwendo halafu ataka kuongeza/kupunguza mwendo gari haiendi inajiresi kwanza kidogo ndio iachie. Inakuwa kama nimeshika breki huku nimekanyaga...
Naomba ushauri nini nifanye gari yangu nissan tiida wametiunga ule unga unaokaa kwenye exhaust muungurumo umekuwa mkubwa je ninaweza kuipata ingine hata ya kuagiza au hazipatikani au nifanyeje...
Habari jaman,
Naomba kueleweshwa vizuri juu ya huu utaratibu mpya wa bima za vyombo vya moto, Je?
1. bei ya bima ndogo imebadilika?
2. tunakata io bima kwa hawa hawa mawakala au ni hadi bank...
Wakuu kwema?
Hivi gari ya cc 990 na cc 1290, zina tofauti gani kwenye suala la kupiga masafa marefu?
Maana wengine wanasema kama gari engine capacity yake ni ndogo huwezi kwenda nalo masafa...
Nilikuwa naendesha kila mara inafika stage gari inadecelerates na kuzimika, ukiwasha inawaka unakimbia kidogo inazimika, nimefanya hivo mara nyingi mpaka nikafika safari ya km 45, fuel ilikuwa...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kuuza magari huko duniani, nimegundua ukiachana na Toyota na Magari ya ulaya bei zake sio rafiki kwetu dunia ya tatu
Nimegundua Mazda wana brand nzuri za...
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu...
Habari wakuu.! Natafta mtu anayejua kutengeneza pressure washer ya magari. Tatizo la machine ni kile kichwa chenye pistoni kinachosukuma maji yatoke kwa presha Kali, kina changanya maji na oil...
Wakuu, salamu zenu!
Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga...
Salaam,
Nimenunua gari Zanzibar, Nimeambiwa ushuru wake ni milion 28 kuileta Dar.
Kuna mtu mwingine kanambia naweza kupata punguzo kama nitaongea na TRA na kuandika barua.
Swali langu ni je...
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.
Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha...