Habari wadau.
Nina kigari changu carina ti inafanya kazi kama tax.
Yapata wiki sasa gari inaishia gia no4, yaani haifiki no5. Wakati huohuo rpm inakuwa kubwa kupita kiasi.
Mf. Kwa speed ya 90kmh...
Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga...
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa...
Mwaka huu mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Kuzalisha ToyotaLand cruiser 200 series V8, na hii imepelekea watu wengi ku oda za mwisho mwisho.
Kumekuwa pia na malalamiko mengi na wengi wakiamini haya...
Habari wanazengo wa JF kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuomba kupata ufafanuzi zaidi kuhusiana na Gari hii ya TOYOTA CROWN MAJESTA ambayo kiukweli nimetokea kuikubali na kuipenda na moja ya...
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye...
Mfano ulinunua gari ikiwa na rangi nyeusi, ukaichoka hiyo rangi na ukaamua kuweka nyeupe, je;
1. Kipi kitatangulia kufanywa; kati ya kubadilisha rangi (kwa fundi) au details kwenye kadi TRA?
2...
Ni gari yangu aina ya Clavia Vitz,mara nyingi mida ya mchana joto likiwa kali,nikiwasha A.C gari ina nguruma zaidi then baadaye naona alama kwenye dash board kuonyesha injini imechemka.Nini shida...
Ferrari, Lamborghini, Bugatti &Rolls Royce.
Nimekuwa nikiyaona kwa wasanii wa majuu na watu maarufu Ulaya, Marekani na Asia. Pia magari haya yameimbwa sana na wasanii wetu hapa nchini.
Swali...
Wakuu nimefanya service ya injectors pump na nozzel za Nissan patrol Y60 lakini bado nimeshangaa gari ina mlio usio wa kawaida wakuu nisaidien nini cha kufanya.
Msaada ndugu zangu gari yangu Nissan patrol engine td 42 inasumbua sana kuwaka nilipeleka pump service ila bado gar haitaki kuwaka. Wap naweza pata fundi mzuri kwa Sasa nipo dar
Wadau wa magari mazuri, kuna hizi kampuni nazihusudu sana ambazo ni
√ Audi
√ Lexus
√ Land Rover
Je, kati ya mojawapo hapo, ipi ni gari Kali ya kufanya nayo matembezi ya hapa na pale safari...
Mwaka mpya mwema wapendwa,
Nina pikipiki Boxer (BM150) nikiwa kwenye high way nikikimbia sana(nikivuta mafuta hadi mwisho) naishia speed ya 90 km/h sivuki 100km/h nakuendelea.
Tatizo linaweza...
Nipo tayari kuitwa mshamba, nimezaliwa nimeikuta landrover 09 na hadi Leo IPO kule kijijini, lakini landrover discovery, defender ni mbovu sana trip pori trip gereji wapi watengenezaji wanakosea...
Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo...