JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wadau, poleni na majukumu ya kila siku. Najua katikwa hili jukwaa kuna watu wana experience na matumizi ya gari aina ya toyota mark x, na toyota crown. naomba kujuzwa yafuatayo. 1. kati ya...
0 Reactions
61 Replies
27K Views
Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH! Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi. Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH...
6 Reactions
71 Replies
14K Views
Habarini? Naomba kuuliza utofauti wa aina hizo mbili za injini linapokuja suala la uvumilivu, spea, matumizi ya mafuta, speed na gharama zake (bei) ya kununua complete used lakini inayo jielewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau ,nilivutiwa na maelezo mengi ya kusifia gesi kwenye gari pale saba saba kwenye banda la tpdc tatizo wanaopigia debe matumizi ya gari za hivyo hawajui gharama halisi ya kufanya kazi hiyo...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari za leo wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nimejichanga nataka kununua gari ambalo ni Nissan Note, ila kuna mtu amenishauri nichukue Corolla Fielder. Kwanza nianze...
1 Reactions
32 Replies
12K Views
Habari wakuu, Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo Naomba kujuzwa ina maana gani?
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Juzi kuna mteja alituita kuwa gari yake aliipaki na kuingia kwenye supermarket kupata mahitaji yake. Ila baada ya kurudi kwenye gari haikuwaka kabisa, ingawa taa zilikuwa zinawaka, radio inafanya...
10 Reactions
3 Replies
2K Views
Toyota IST inatambuliwa sehemu nyingi ulimwenguni kwa kuwa gari ndogo inayo mtosha kila mtu. Matairi yake madogo, pamoja na engine yake inayotumia mafuta kidogo, humfanya mtumiaji Kutokua na hofu...
3 Reactions
60 Replies
18K Views
Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa. Gari yangu ni Corolla Runx Engine NZFE1 vvTi. Nimetoka kubadirisha oil (BP) kama 100km zilizopita. Tokea siku ya Alhamis sijaliendesha hadi jana siku ya Jumanne...
0 Reactions
56 Replies
19K Views
Jamani wanajamvi Mambo vipi. Msaada, ninakigari changu Aina ya VEROSSA kilikuwa kinazingua mis mis, nkakipeleka KWA gereji, wakamwaga Hydrolic na kuweka nyingine lakini haikusaidia, Mara ikagoma...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Inakuwaje wanajamvi! Toyota ni nouma yani sheeda hatari Aisee. Watu wanaidharau sana Toyota. Mjapan akaamua kuwanyamazisha watu. Katoa kitu kikali sana ambacho Kilianza kutumika July 2020 ni...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Habarini wadau, nisaidieni kupata used STARTER kwaajili ya Clavia Vitz au kile kikombe chake tu.Nipeni offer jamani.0787504002
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu..salaam.. Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu,!!baada ya kusafiri takribani week mbili na kuacha nimepaki gari yangu,nimerudi na kukuta battery ipo down kabisa hivyo kunilazimu...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Ship Bunkering-Huu ni ujazaji wa mafuta katika meli kutoka meli moja kwenda nyingine yenye huitaji au vilainishi (lubes).Meli ujaza mafuta kama ilivyo kwenye gari ambapo gari uenda kituo cha...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za saa hizi members wa forum ya magari. Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu. I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua...
13 Reactions
57 Replies
8K Views
Habarini wadau, Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting? Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver? Nataka...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza...
2 Reactions
41 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…