Salaam sana jf,
Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF)...
Habari wadau
Naipenda sn hii gari ni roho ya paka na ukiitunza bila kujali kupitwa kwake na wakati utakaa nayo sn na pesa za kutaka gari nyingine ukafanyia mambo mengine,
Sasa naambiwa ina...
Wandugu habari za Usiku
Hii ni Gari mpya Nissan
Nilipeleka gari kufanyiwa Interior Design ikiwemo na dashbord
Ila imerudi Taa ya Airbag inablink tuu, nimeuliza nikaambiwa kwa kua iliguswa...
Salaam wanaJf, samahani sana kwa kuwa sina uhakika kama apa ni jukwaa sahihi, ila tuvumiliane na kusaidiana . Ni kuwa kuwa gari yangu corola E100 nataka kuibadili rangi kutoka nyeupe kuwa light...
Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka.
Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
Nchi ya Uingereza itaacha kuuza magari yanayotumia petroli na dizeli mwaka 2030! Badala yake itatumia magari yanayotimia umeme (betri). Chini ya mpango huu vituo vya mafuta vitakuwa ni vya...
Wakuu habari ya muda,
Niko mbioni kuzichanga na kununua canter ya tani mbili kwa ajili ya shughuli zangu za kibiashara, nikaperuzi bei mitandaoni. kilichonishangaza, canter ya 1998 4D33 engine...
Hello JF.
Leo nakuja na kizungu kidogo
Imetoka Call mwaka Jana this year they will stop producing the Toyota landcruiser J200,the generation formed in 2007 to 2020 will then cease.
It was...
Tunaomba wanaozijua hizi gari watuambie kwa nini bei yake iko chini sana?
Je, ni mbovu au hazina spea hapa Tz
Kama hazina shida bora tuhamie Honda maana hali ya uchumi inatisha kwa sasa.
Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki.
Lamborghin
Mercedes Benz
Porsche
Rolls Royce
Wakuu niaje
Asee moja kwa moja kwenye mada kibongo bongo ukimuona v8 cruiser unaiheshimu ila kuna huyu mnyama lexus lx570 ni wa moto sana kwanzia interior and exterior design.
Kuhusu hp...
Baada ya kudumu na kutawala soko la SUV, hatimaye Range Rover wameleta mtambo mpya, sedan. Kitu ambacho hawajawahi kukifanya tangu walipoanza kuzalisha matoleo yao.
RRONDO , Mshana Jr, hii ni...
Niende moja kwa moja kwenye mada,nilipaki gari home asubuhi nimeenda job gari nimeiacha iko poa narudi home jioni hii nakuta gari inawasha taa za hazard jirani ananambia toka asubuhi linawasha taa...
Wakuu sijawah pata hili tatizo kabla, nahisi kuvurugwa kabisa hapa, ni hivi leo kuna mahali nilikuwa napandisha kilima, sasa mvua za leo na huu utelezi ilinilazimu kukanyaga mafuta kwa nguvu...
Hello wakuu,
Kama title inavyojieleza, je Arusha au Moshi kuna kampuni inayonunua na kufufua Land Cruiser cars mbovu zilizochoka?
Niliwahi sikia sikia kitu kama hicho huko Moshi (if not Arusha)...
Wadau kila mara napitia page ya enhance auto,,Kwakua nazipenda crown, najaribu kuangalia ulaji wake wa mafuta naona wameendika 12km/l,,Pamoja na web page zingine,,
Je ni kweli kwetu hapa tanzania...
Habari wadau nina gari ya suzuki jimny, ni manual transmission,
Kawaida ukiwa unaendesha na ukifika kati ya speed 70-80 huwa inatetemeka. Ila ukipita 80 na zaidi inatulia na kuwa kawaida, kwa...