Wakuu habarini
Kwanza niwape pole na Majukumu,
Naomba kujua kwa wataalamu wa Magari kuhusu Aina za Magari toka kampuni tofauti na toyota ambazo zipo miaka mingi mfano Volkswagen, Honda, Nissan...
Wakuu naomba msaada wenu nina nia ya kununua Toyota Rush muda wowote kuanzia leo, naomba msaada mkubwa kutoka kwenu je hizi rush ni nzuri kwa matumizi? Kuna mtu kanivunja moyo anasema tatizo hizi...
Jamani me natumia gari inaitwa nissan teana 230 na oil ambayo huwa natumia ni 5w40.
Sasa juzi nimeenda kuchange oil fundi anasema nakosea kutumia 5w40 bcoz ni nyepesi sana and natakiwa kutumia...
wakuu kuna njia kuu 2 za kufanya diagnosis kwenye gari.
kwakutumia mashine na kwakutumia softwere ambazo huwa una install kwenye laptop or pc au phone na kuzitumia.
mm nimekuwa natumia...
Habari wakuu,
Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya...
Habari Wataalam,
Gari yangu ni Vitz 2001. Tatizo la kugoma reverse limeanza kama week 2 zilizopita. Mara nyingine inakubali reverse hasa Asubuhi ninapoiwasha hila baada ya hapo inagoma ni only...
Japan ikiwa ni miongoni mwa nchi zenye kutengeneza magari kwa wingi duniani, na ikiwa inamiliki kampuni kubwa tatu za magari ambazo zipo kwenye top 10 ya makampuni makubwa ya magari dunian ambazo...
Heri ya mwaka mpya wakuu niwatakie 2020 yenye mafanikio tele kimwili na kiroho.
Haya back to the subject, mimi ni mzoefu wa magari kiasi fulani hapa nimekuja nipate mawazo ya wadau ili kuongeza...
Hello wanaJF wote.
Title inajieleza. Nimedunduliza ili kununua kausafiri. Nina TSH 10 Million net. Je, naweza imiliki Toyota IST kwa kuagiza kutoka nje? Kujumuisha gharama zote na ushuru wa TRA...
Nina gari aina ya Noah sr40 imenitesa sana kwa upande wa breki, breki zake zina jam miguu ya mbele na nimesafisha piston lkn tatizo liko pale pale yaan sina raha kabisa na hii gari, mwanzoni breki...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mwenye uelewa na magari hayo hapo juu atupe a,b c zake hasa ulaji wake wa mafuta pamoja na spare parts zake.
Natanguliza shukran Wakuu
Habari za wanabodi wezangu nnaomba ushauri wenu katika aina hizo mbili za magari hapo juu kwa uzoefu wenu ipi ni bora zaidi kwa uimara wa bodi na upatikanaji wake wa vipuri. Nnakaribisha maoni yenu.
Wakuu kwanza napenda kushukuru uongozi wote wa jamii forum. Nilitaman sana na mimi niwe nachangia mada nyingi tu lakini nilikua nakwama nashindwa kureply
Okay kama mada ilivyojielezea hapo juu...
Habari JF
Kichwa cha Habari kisomeke Kwanini Engine Placement ya magari mengi IPO mbele?
Naileta hii mada tujadili kwanini injini nyingi za magari yetu hususani za kijapani zipo mbele? Kuanzia...
Habari wadau kama kichwa kinavyoongea hapo juu nahitaji kununua hilo gari,litahitaji marekebisho madogo maana limekaa mahali kwa muda mrefu kidogo.Plz nahitaji kujua zaidi kuhusiana nalo kutoka...
Jamani nina gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji, gari ina mafuta na moto unafika kwenye injini, naomba ushauri nini kinaweza kuwa tatizo hapo?
Jamani habari za leo, tatizo la gia box kuchelewa kuchanganya haraka wakati gari inaanza mwendo, shida inaweza kuwa ni nini?
Ushauri tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app