Nimepitia kwenye mtandao na kwenye forum mbali mbali kujuwa uzuri na ubaya wa haya magari mawili nikasema moyoni hivi hawa viongozi wanapo tamka maneno wanadhani watu wapo mashimon au kwenye ujima...
Hizi ni miongoni mwa ajali kubwa za meli za mafuta zilizowahi kutokea duniani na kuleta uchafuzi mkubwa wa mazingira ya bahari na athari kwa viumbe hai na watu waliozunguka maeneo hayo.
1.Torrey...
Naona toyota wametoa model mpya ya Toyota Rush ambayo ki mwonekano ipo between Rav 4 na Daihatsu Terrios.
Rush inaoneka kuwa na body ngum ila sijui kuhusu engine na confortabily yake barabarani...
Habari wana jf nimekuja apa na tatizo kiaina...kuna gari aina ya fuso 17 ikiwa inarudi gia kutoka namba 3 kurudi mbili inapiga kelele kama ukiwa kwenye motion kubwa inapiga kelele kiasi kwamba...
Nipo na ist pamoja na hii balloon chaser, 4cylinder, cha ajabu naipenda sana hii balloon, kweli watu walitulia sana kuitengeneza hii gari,kwanza nzito,inatulia barabarani,halafu ni very...
Habari wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka wimbi la kampuni za kitanzania zinazoagiza magari kutoka Japan, UK, Singapore n.k. Tena wana utaratibu wao wa malipo kwa awamu mbili, unalipa...
Nina gx 100 1g kavu.
Brake zipo mbali karibia na kuisha kbsa au za kupamp.
Pia nikiwa spidi ya 65 na nhasa ninapobana brake , gari inayumba kama alama ya S ivi..
Niliwah nyuma kupiga alignment.
Je...
Habarini wakuu,kama nilivyoandika juu hapo ninayo Ractis ina engine ya 1NZ anatumia wife,sasa imeanza tatizo ambalo naitaji ufumbuzi,ukiendesha kama km 150 hivi kuna muda inapunguza speed then...
A to z UTARATIBU wA KUNUNUA GARI SHOWROOM UPOJE ??
Yaani tayari nina vijisent vyangu na tayari nishafika showroom...hatua zipo vp mpaka naanza kuitumia hiyo gari bila usumbufu wala malipo...
Miaka michache nyuma ilikuwa kila mtu akitaka kununua gari ni toyota
Ilifikia mahala mpaka zikawa kama utambulisho
Naona sasa watu wamebadirika wananunua magari tofauti
Now subaru zipo nyingi...
Ninaomba mwenye uelewa anisaidie.
Gari aina ya Nissan Extrail, nikifunga break taa za mbele yaani parking light zinawaka. Pia taa za plate number zinawaka; na dash board inawaka
Mwanadamu huzaliwa, huishi kisha hufa. Sababu za kifo zinaweza kuwa kadha wa kadha mfano ugonjwa, kupigwa au ajali.
Linapokuja suala la ajali za barabarani, kuna sura tofauti tofauti kama vile...
Mzuqa Wanajamvi,
Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda. Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo...
Habari zenu wadau?,
Ninaomba uzoefu wa Noah field tourer, uzuri na ubaya wake ikiwa nahitaji kuinunua kwa matumizi binafsi.
Ahsanteni sana na nategemea mengi toka kwenu
Habari wadau,
Nahitaji msaada kwa yoyote anaejua taratibu na gharama za kupokea gari iliyotumwa kutoka nje.
Si la kununuliwa, bali mtu alikuwa akitumia.
N.b Je, gharama ni zile zile kama za...
Habar wadau
Naomba kujua mambo ya kitaalam kuhusu hili gari.
lina injin aina ya 3S 1990 cc, 4WD
Naskia ni Imara sana na liko vizuri kwenye Rough road
PLz kwa mwenye Ujuzi nalo; Naomba kujua gari...
Gari ni Toyota passo
betri iko full na dashboard inaonesha kila kitu kiko sawa but nikiwasha haistart kabisa je tatizo linaweza kuwa ni nn msaada please
Salam wandugu!
Naomba kwa wale wenye uzoefua au ujuzi juu ya magari aina ya hiace wanisaidie kwa ushauri.
Nataka kuagiza gari toka Japan na niko katika hatua ya kuchagua gari katika mitandao...