JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Nimepata shida sana napopeleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu passo yangu ni four wheel drive tangu last month imekuwa na nguvu ndogo, yaani unakanyaga mafuta bado inakuwa inatembea polepole sana. Mlimani ndio kabisaa inataka hata kusimama. Kama kuna...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Wakuu kwema? Aise sehemu gani nitapa used spare za gari za muhindi (TATA)? Kuna spare natafuta, nimejaribu kuulizia kwa dealer wao hapa Tanzania aise ni ghali sana ndio maana nimeona bora...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wazee hizo gari zinaitwa EV Cars yani Electronic Vehicles, ziko compact size ya kubeba watu wanne size ile ile ya "BEBIWOKA" tulizozoea kupishana nazo mtaani! Habari njema ni kwamba hizi gari...
9 Reactions
89 Replies
10K Views
Wanatengeneza Mini buses, Pick up, SUV's, buses, Trucks nk. Yaone mwenyewe.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari,nahitaji fundi anayeweza kubadili injini ya vogue na kufunga injini ya tiyota land cruser,urgent
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Wadau naomba anayejua anisaidie. Redio ya gari langu kuna muda inatoa mlio mkali kama mluzi nalazimika kuizima. Tatizo ni nini? Kama vile kuna mwingiliano wa mawimbi au cjui nn.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Helloow ... Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ... Niko dar
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Gari yangu imeanza kusumbua lkn tatizo cjui, ni carina automatic gear,inawaka safi,unaweka gear D kama kawaida ila RPM ikifika juu ya 2 inakuwa kama ipo katika N yaani neutral sasa cjajua tatizo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wana Jf napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale members wote waliotoa mchango wao wa mawazo, elimu, ushauri atimae nimefanikiwa kusolve tatizo LA gari yangu. Gari yangu in Toyota...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu wa kitaalamu zaidi ila ulenge kwenye mambo yafuatayo:-ufanisi(performance),fuel consuption,durability,prices,spare parts haswa upatikanaji wake katika gari hizi...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Nimeona kuna baadhi ya magari ya toyota na makampuni mengine yakiwa na mfumo wa engine wa hybrid, naomba kueleweshwa yafuatayo:- 1. Nini maana ya hybrid-electric engine 2.Nini tofauti yake na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa wana JF. Nina nia thabiti na mapenzi ya kununua Pajero i0 na nimetokeo kupenda sana aina hii ya gari. Nakuombeni sana wana JF kama kuna mwenyewe welewa juu ya gari hili ikiwa ni pamoja...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kampuni ya utengenezaji ndege ya Marekani - Boeing - itawasilisha rasmi ndege ya kwanza aina ya 787 Dreamliner kwa shirika la ndege la All Nippon Airways (ANA) la Japan. Dreamliner Awali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Picha loading: NAUZA BAISKELI. Nauza baiskeli kwa bei ya sh 80,000. Delela kama mtavyoiona. Inahitaji marekebisho ya shilingi elfu15 tu. Tatizo ni mzinga 70,000, digadi 3,500 na fundi 4500...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Diamond Mercedes of Prince Diamond-Studded Mercedes Benz,This diamond- studded, mink-furnished Mercedes SL600, worth $4.8 million, was unveiled at a Dubai auto show to celebrate the 50th...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
y GEORGE TIBBITS, Associated Press Writer George Tibbits, Associated Press Writer – 19 mins ago EVERETT, Wash. – Boeing Co.'s new 787 jetliner...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi!! Naomba kufahamu kutoka kwenu ninyi wazoefu kuhusiana na gari aina ya volkswagen tauran katika utumiaji wa mafuta,speed/nguvu,spare n. k. Asanteni sana
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…