Habari wakuu,
Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama ukiachana na kodi ya TRA ambayo naweza kuona kwenye system ya TRA, ningependa...
Habari wakuu,
Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama ukiachana na kodi ya TRA ambayo naweza kuona kwenye system ya TRA, ningependa...
Habari wakuu,
Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama ukiachana na kodi ya TRA ambayo naweza kuona kwenye system ya TRA, ningependa...
Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu.
Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu kanunua gari ndogo, odometer inasoma elfu ishirini na kitu(20,6..) Gari imetengenezwa mwaka 2003/02 na imeingia TZ mwaka 2016. Sasa nilivyoiona hyo gari inamuonekano mzuri bado...
Ndugu wana Jamii Garage, naomba msaada hapa kwa mwenye ufahamu wa hili tatizo, nawezaje kutatua tatizo la gear shifter kung'ang'ania mwenye P (parking) na haikubali kuhama kwenda kwenye D, N, L, 2...
Nimemaliza Diploma ya Magari, (Automotive Engineering) Ila natamani sana kuendelea kupanua zaidi ujuzi kwenye ufundi wa umeme wa magari!
Nipo Dar es Salaam Temeke Keko juu, tafadhali kama kuna...
Wakuu natumai mko poa kabsa na mnasonga mbele kimaisha.
Napenda muundo wa passo Racy lakini too bad sion thread yoyote ikizungumzia hizi gari. Wengi mnaongelea passo 3piston na 4.
Mnaonaje...
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninajitahidi kupunguza uzito wa gari yangu toka 960kg angalau ifike 600kg!
Nia na madhumuni ya kutaka kupunguza uzito, kwanza ni kuiwezesha gari iwe...
Hakuna dalali nauza mwenyewe.
gari ni nzima haina tatizo lolote na iko kwenye hali nzuri kabisa
Namba ni DDJ ....
Million 28..
Karibuni kwa maelezo zaidi tuwasiliane,
0713220021
Heshima mbele wakuu,
Nna shida na fundi mzuri wa gear box, aina ya gari ni Mercedes Benz, W211, E-Class ya 2003.
Nahitaji ushauri wake, ili nijue kama gearbox inatengenezeka ama ninunue ingine.
Habarini.
Mwezi Huu mwishoni Nataka kutafuta hiace ya Hali Nzuri bila kuagiza starti langu ni gari isiwe imeguswa kwenye Engine, gearbox na vitu vingine.
Naomba kuelewesha Baadhi ya vitu...
wenye uzoefu na magari nisaidieni, nahitaji kununua gari
my concern;
1. iwe na consumption ya mafuta kiasi...
2. mahali ninapoishi na ofisini ni km 20 kwenda 20 kurudi kila siku
3.most wkends...
Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama...
Habari wana JF!
Nafikiria kununua Mitsubish Challenger yenye 3490cc toleo la 1996-2000. Nimepitia kwenye internet na kujuwa kuwa yatembea wastani wa km 7.1/L. Naomba kufahamu service yake...