Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Kwa muonekano haya magari kama yanafanana,ila nalikubali sana Allex,sijui utofauti wa haya magari upoje...lipi bora zaidi?
Ushauri wenu muhimu sana mana msimu wa korosho huooo unakuja visenti vya...
Wakuu habarini za majukumu,naombeni ushauri kwa gari tajwa hapo juu naitaji kulinunua baada ya mavuno yangu ya mwaka,vpi ulaji wa mafuta,upatikaji wa spea,servis yake ikoje,asanteni
Huwa ni mojawapo ya hobby zangu ishu za kubadiri muonekano wa vyombo vya moto. Jana kuipitia page ya #ttrautoupgrade nikakutana na moja ya kazi yao kwenye gari ya masoud kipanya!, thats some cool...
Habari wakuu
Mi ni dereva leseni class D hai na vyeti halisi mwenyeji sana wa njia za Dar- Lusaka hasa Lusaka maana nimekaa sana natafuta kazi za kusafirisha IT naombeni msaada kwa mwenye kujua...
Salaamu sana wakuu!
Napenda nijifunze ufundi wa magari nikipata resources na muongozo hivi vitanisaidia sana.
Kama kuna mwenye tutorials, notes na hata aliye na garage naeza kuhudhuria hapo kila...
Wakuu napenda sana kumilik gari hasa caldina
ila nahitaj kujua kat ya caldina ya 2002 na new model ya 2007 ipi bora katika ulaj wake wa mafuta bei show room na engine capacity
NOTE: nikipewa...
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo...
Wadau, niaje, hope wote mko poa, Nina gari yangu aina ya nissan muundo wa Tiida, Huu ni mwezi wa sita sasa kuna tatizo limejitokeza wazungu wanaita ''missfiring''. In fact nikiwa naendesha nikiwa...
Wakuu naombeni ushauri, niko mbioni kufanya mchakato wa kupata usafiri. Mimi ni mpenzi wa MPV (Mult Purpose Vehicles) au kwa lugha nyingine Family Cars. Nimependezwa na hizo mbili kwa sababu zote...
Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutumia Toyota Preimio,zipo za version mbalimbali lakini me niko interested na Primio modal ya 2004 na 2005 CC1490 , binafsi nimejaribu kuchunguza sijajona...