Wakuu nimezipenda hizi gari ni ndogo kimuonekano kama bajaji vile unaweza penya kwenye foleni, zina engine ndogo hivyo kuwa na matumizi madogo ya mafuta pia.
Je kuna mwenye uelewa zaidi...
Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali...
Jamani napenda kujifunza nna kagari kangu nnako mwaka sasa kapo sawa ila napenda kufahamu ni sehemu gani huwa inasumbua ili niwe makini na service ndogo nafanya after 3000 km. Kwa wale wazoefu plz...
-Alternator ya Harrier new model yenye engine 2AZ
-Battery ya gari 12V N50
Nahitaji bei ya hivyo vitu vikiwa vipya na vikiwa used
Natanguliza shukrani.
Habari wana jamvi? naomba kuwauliza hasa wataalam wa umeme wa tattzo la gage kwenye dashboard(cluster) za nissan patrol yenye main na sub tank husabishwa na nn? na linatatuliwa kwa ambao...
Wakuu naomba ufafanuzi juu ya matumizi sahihi ya spliter kwenye magar makubwa hii ni baada ya ubishi mkubwa uliojitokeza.. Wengine walidai unaweza tumia spliter kwenye gia zote kuanzia 1-6 kwa...
Habari wanajamvi,
Nimejichangachanga nimepata 12M, je naweza kuagiza gari tajwa hapo juu kutoka Japan.
Pia, ukiacha makampuni ya Beforward na Tradecarview, nani wengine wenye huduma nzuri na...
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na...
Habari wanajamvi nahitaji music kwa ajiri ya gari na gari ni subaru legecy b4 bajet yangu ni 1million
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa...
Habari zenu wakuu.
Kuna jambo ambalo ningependa nilifahamu ambalo limekuwa likiongelewa mara nyingi kwenye replies za thread tofauti tofauti za ushauri ambalo nina uhakika hata na wengine pia...
Nilikuwa natumia FM radio nikaweka CD sasa nataka kurudi kwenye FM radio inagoma. Wakati natumia FM radio screen touch Ilikuwa inafanya kazi ila kwenye CD screen touch haifanyi kazi
Naomba msaada