Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine?
Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari...
Naombeni kujua katika Gar ndogo(kuanzia Tani 3 kushuka chini) ni ipi nzuri kati ya inayotumia Petrol au Diesel na ni kwann? tukiachana na factor ya fuel consuption.
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa...
Habar zenu, nahitaji rear ABS sensor rotor ya IST NCP 65 (MAFUNDI WANAITA SHANGA YA ABS) mwenye nayo au kujua zinapatikana wapi anishtue, niko mkoani!!
Meli ni chombo ambacho hutumika katika usafiri wa maji na ina uwezo mkubwa wa kubeba watu na mizigo.
Asilimia kubwa ya mizigo hapa duniani kutoka bara moja kwenda bara lingine usafirishwa kwa...
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu...
Ndugu wana jamvi gari yangu inawasha taa ya ABS sio mara zote ila ukiwa safari ndefu ndio taa inawaka nikisimama nazima gari halafu nawasha na taa haiwaki tena hadi muda mwengine tena ukitembea...
Naomba kuuliza kuhusu gari aina ya BJC -jeep.
spea uptaikanaji wake na mambo mengine.muhimu
kuna gari imepaki na mhusika anataka kuniuzia,mimi nimevutiwa na 4wd na shepu yake kwa ujumla...
Wakuu kuna jambo moja hua najiuliza sana siku zote, kwamba tunaambiwa floor au sakafu ya meli imetengenezwa na pure iron (chuma cha pua). Sasa inakuaje meli ambazo hupata ajali ya kugonga mwamba...
Sembuse ki mvua cha Darisalama?
============================================
Injini ya ndege kubwa ikiwa inafanyiwa majaribio ambapo humwagiliwa maji ya kiwango cha lita elfu nne na nusu kwa...
Wadau naomba msaada kuna kigari changu kinanisumbua sana nshabadili sensor kadha lakini bado kinazima mara nyingi na kuwasha check engine...pia kina vibrate sana na mlio wake kwenye bomba ya kutoa...
Make : Subaru
Model : Legacy B4
Mileage : 112,090km
Engine size: 2,000cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2005
Doors : 4
Seats...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii gari 'ilinunuliwa' kimaajabu sana. 2012 muda nainunua Plan ilikua ni kuifanya gari ya abiria, lakini nilikuja gundua nimefanya 'panic purchase'.. But hatimaye...
Mfumo wa utengenezaji magari duniani umebadilika miaka ya karibuni kutoka kwenye full mechanical kuwa advanced technology jambo ambalo ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea ambazo kwa kiasi...
Katikati ya miaka 2000, ilikuwa 2006 Tuliingia ubia mimi na jamaa yangu tukanunua gari aina ya Mitsubishi Fuso fighter 17. Gari tuliiagiza kwa kumtuma mtu tuliyemwamini. Kwa wakati ule tulimpa Us$...
Wana Jf nawapa heshima yenu..
Ninaomba kuuliza kwa wenye uelewa kuhusu engine oil za magari..
kulingana na joto la nchi yetu Tz, ninaweza kutumia oil 5w 30 kwa gari langu?
Tangu ninunue gari...