Members wamiliki, watumiaji, watarajiwa kwa hizi gari aina ya MAZDA Demio
Tukutane hapa kubadilishana uzoefu, changamoto , Uboreshaji, mafundi na garage nzuri , namna ya upatikanaji...
Nimeifanyia overhall gari langu lakini tatizo la kunywa sana mafuta kupitiliza bado lipo palepale ...
Toyota Rav4
1999
1998cc
Sababu ya kufanya overhaul lilikuwa linaunguza sana oil...
Tunatafuta pesa ili zituhudumie na kuwasaidia wengine.
kwenye ulimwengu wa usafiri nimegundua kila mtu anatamani Mungu akimuwezesha anatamani awe na aina flani ya gari, ingawa wengine tayari...
Wadau heshima kwenu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi kununua gari ronimotors thailand nataka kununua pick up double cabin. Sasa hawa jamaa siwafahamu na bei ya pickup imenona kidgo nisije...
Habari za muda huu wana jf...
Jaman nahitaji msaada, Nina lorry langu nimenunua mwezi uliopita yan used car[Mitsubishi] kutoka Japan.
Baada ya kununua nikaamua kuongeza urefu was trailer na...
Hii ni kwaTanzania!
Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.
Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka...
A.C KATIKA GARI IMEUNDWA NA VIFAA KADHAA AMBAVYO VYOTE KWA PAMOJA UFANYA KAZI YA UZALISHAJI WA BARIDI KATIKA GARI
1.A.C COMPRESSOR
Kifaa hiki kinatumika katika ufuaji wa ubaridi katika A.C...
habari zenu wakuu , kama kichwa cha habari hapo juu natafuta giabox ya suzuki kei nimehangaika sana maduka ya dar lakini skubahatika .mwenye kujua zaid wapi nitapata nomamba anipe mwanga kidogo...
Niko bariadi na mafundi wa huku si wazuri sana naomba kujua tatizo ni nini haswa
kupitia kwenye mitandao nilikuja kugundua kuwa oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected na nahisi...
Samahann wakuu hivi ni coz gani nzr ambayo humfaa mtu ambaye wastan wake wa form 4 kapa division 3 na
Ana F ya mathe
C ya chemia
C ya biology
D ya geography
D ya history
C ya kiswahili
D ya...
IWAPO GARI IMEKUTWA NA TAIRI MBOVU, GIA ZISIZOFANYA KAZI VIZURI, BREKI ZISIZO MADHUBUTI, TAA HAZIWAKI NA BODI LIMECHAKAA, JE HAYA NI MAKOSA MATANO (5) TOFAUTI, KIASI KWAMBA ANATAKIWA KULIPA...
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa...