Habarini wananambia,
Kuna uhusiano wowote Kati ya exhaust system na utumiaji wa mafuta katika gari? Nikiimaanisha exhaust ikiziba na utumiaji mafuta WA gari unaongezeka? Asanteni
Naonbeni msaada viongozi ... hii gari jana imetokea tu ghafla na kuanza kubugia mafuta balaa ... na hiyo hiyo jana ilikuwa engine inavujisha oil ndio tukafungua oil seal na kubadili ... sasa hili...
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na...
Kwa wale wanaoagiza magari kupitia be forward Japan kuna sehemu imeandikwa Discount code, please ingiza hizo hapo chini unapata discount hapo hapo kwenye system kabla hujaanza kufanya burgaining!!
Nothing Serious S1 Ep 1 _
Nothing serious Inahusiana Na vitu flani flani vya harakati za vijana. kijana yoyote yule mchapa kazi atakuwa anaweza kuomba kuonana nasi tukafika mahali pake pa kazi...
Guys I want to buy a car by next month or October nina budget ya 23mil which car should I go for between those three?
Pls ushauri which is the best car kulingana na hali ya uchumi ya sasa. Kwa...
Bwana Allan Swift raia wa Marekani aliyekuwa akiishi huko Massachusetts alizaliwa mwaka 1908 ma kufariki mwaka 2010, alimiliki na kuendesha gai moja kwa miaka 82.
Bwana Allan alipewa gari aina...
Huu ni uzi wa pili kuleta humu kuhusu hii gari, kiukweli nimevutiwa nayo kuna jamaa yangu aliibahatisha used anayo mwaka wa nne sasa haijamsumbua na inatumika kila siku kama tax,
Naomba mwenye...
habarini wadau hapa JF
naomba ushauri kwenye hizo gari tajwa hapo juu yaani what is the best kwa vigezo vifuatavyo
1:uimara yaani durabillity
2:kuaminika na uhakika yaani reliabillity...
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa...