Si tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama...
Wasalaam geeks!
Mie bwana ni mgeni kidogo kwenye hizi mambo,niliweka template hizi zinazosupoort ads kwenye blog yangu ila imekuja na maneno flani ya kifaransa nimehangaika kuyatoa nimeshindwa.ni...
Wana jukwaa naombeni msaada nina kausafiri kangu bhana ghafla kameanza kunitia hasara kwa ulaji wa mafuta usio wa kawaida...
Ni TOYOTA CAMI with 1.3 ltr petrol engine hapo mwanzo ilikuwa...
Habarini wakuu, hapa nimekuja kwa fundi umeme kwajili ya matengenezo ya switch za mlangoni za vioo ila simuelewi nikaona niwashirikishe, naombeni msaada wa kimawazo , nimekutana na changamoto ya...
Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue.
Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika...
Wadau,
Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari?
Ahsanteni
Salaam wakuu naona uzi upo mahala pake , kama kichwa kinavyosema. Hivi karibuni ninampango wa kumpeleka mtu showroom kununua gari ya kazi ila yeye kapendelea kununua Mitsubishi fuso sasa nilikuwa...
Habari wana jamvi, nnaulizia ni brand gan nzuri ya mashine ya kujaza upepo matairi maarufu kama compressor, kwa zinazotumia mafuta ya petrol nnataka kufungua kijiwe cha pancha.
Naomba kufahamu haya yafuatayo,
1. Kiasi cha upepo kinachofaa kuwekwa kwenye tyre za mbele na nyuma ( naongelea hzi gari zetu za kawaida siyo malori)
2. Mara ngapi unatakiwa kucheki kiasi cha...
Toyota Stout First Generation Production 1954-1960
Toyota Stout Second Generation Production 1960-1978
Toyota Stout Third Generation Production 1979-1989
Wakuu nahitaji mojawapo ya gari hapo juu ila kwa Altezza nimeweka masharti kidogo na bajeti yangu mwisho kabisa kwa hizo gari mbili isizidi mil.7 ila kwa Altezza naweka Mil.5-6
Karibuni Pm kwa...
Kama kichwa kinavyosema.gari yangu ni Suzuki escudo tatizo kubwa la gari yangu ni shoti za Mara kwa Mara upande wa Betri kwenye positive teminol hadi inafikia muda inatoa moto kabisa nakama...
Asalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh.
Mahitaji yangu sitaki kwenda...
Wadau kwema?! Km title inavyojieleza kuna mzee amestaafu anatak nimp hela kidogo aniachie corola 90 yake....vp kwa wenye uzoefu na hiv vigar vinaendesheka?!
Msaad gari yangu aina ya premio old model huwa inanipa shida sana kuwa asubuhi mpaka inanilazimu nikanyage moto kidogo kwa muda fulani ndo inakubali kuondoka naomba ambae alishawai kukutana na...