Hapo nshabadilisha plugs,fuel pump,fuel filter,air cleaner,plug wires.no check engine light,gearbox mpya,exhaust system iko poa.lakin bado haina nguvu jaman,msaada pliz
NJIA 10 ZA KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAFUTA KWENYE GARI LAKO
1. Hakikisha kuwa unalifanyia gari lako service kwa wakati muafaka.usisubiri mpaka gari ipate tatizo kabisa ndo ubadilishe kifaa...
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
Habari wa JF.
Heri ya mwaka mpya.
Kuuliza sio ujinga wakuu tena kwenu wana JF heshima kwenu. Kwa wale wajuzi wa magari na wafuatiliaji wa magari ningepanda kufahamu wanaposema hii gari ni ya...
EDR stands for Events Data Recordings,an instrument that records each event in motor vehicle.Normally useful in case of accident.It records steering angles,wheel rotation,Rotation per...
Wakuu salama!
Kuna hizi tairi nyembamba na kikanyagio kipana "LOW PROFILE" ambazo nyingi naziona zinafungwa kwenye SPORT RIMS na magari kama alteza, verossa n.k. Hizi tairi ni rafiki na zinadumu...
Habari ndugu. Naomba ufafanuzi kwa wale wanaozijua Prado TX 3rz engine. Ulaji wa mafuta town trip liter 1 inatembea KM ngapi na kwa safari ndefu nje ya mjini Liter moja inatembea KM ngapi...
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
Habari wanabodi, gari langu limekuwa na tatizo la kuwaka taa ya oil, na inawaka na kuzima yaani kuna muda inablink na kuna muda inazima sijui tatizo ni nini, naomba msaada wa maelezo.
CAR AIR CONDITIONING : DANGEROUS - must read!!!!
No wonder more folks are dying from cancer than ever before. We wonder where this stuff comes from, but here is an example that explains a lot of...
Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye...
Habari za mchana.
Nina pikipiki yangu Aina ya Piaggio, model ni Gilera runner SP malossi, two stroke engine CC 180. Hii pikipiki inatumia fuel pump na oil pump, zinatumika sana kwa ajili ya...