Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu
Nina audi a4 nisaidieni garage naweza kubadili transmission fluid
yaani oil ya gearbox na service kwa ujumla
Natanguliza Shukrani
Inapima fault upande wa engine tu,inasoma fault code na kufuta, pia show live data stream. Ina support magari yanayotumia obd2 kuanzia 1996 hadi sasa. Inaweza kutumiwa na mafundi au mtu binafsi...
Jamani naomba msaada kwa mtu yeyote anaejua vizuri hizi gari ndogo ni ipi ambayo inafaa kwa kuwa na uwezo wa kwenda masafa marefu kama safari za mikoani bila tatizo lolote na kwa mafuta iwe...
Habari vipi wadau katika jamvi hili la Jf Garage, naomba kupata msaada wa gari hizi aina ya Toyota surf.
1. Generation gani ni imara zaidi?
2. Upatikanaji wa spare zake...
3. Costs/Gharama za...
Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan.
Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
Habari,
Naomba kujuzwa ufanyaji wa kazi wa intake systems hizo yani VVT-i,VVTL-i, Dual VVT-i, VVT-iE, VVT-iW and Valvematic. Na utofauti wake upo wapi na pia ipi ni system bora zaidi kati ya...
Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa...
habari wakuu ! natafuta taa ya nyuma (indicator ) ya kulia, gari lenyewe ni Isuzu rodeo double cab . Arusha nimekosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamii naombeni mnipe kwa uelewo wenu tofauti kati ya Haya magari aina ya pick up na Haya aina truck
Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
Naomba kujuzwa matatizo ya Mazda Rx 8 kwa anyejua, nimevutiwa na hizi gari na nataka kununua lakini ni lazima nijue shida zake kwanza nisije ugua presha.
Habar zenyu wakuu,napenda kujua kuendesha gari japo kwa nadharia,
Nawasilisha.
Tunataka kusomba watu hadi wa vijijini kuja hapa ofisini kwetu,sasa hakuna dereva kwenye hizi mandinga zetu asee...
Kwa jina naitwa Ibrahim Hassan (Fundi Ibra) ni mkazi wa Dar es salaam (Magomeni).
Ni fundi mzuri wa magari ya aina zote,
*kwa kupiga rangi,
*Kunyoosha
*na kufanya service ya gari yako.
Karibu...