Wadau ninakimeo hicho ambacho nilikiagiza mwenyewe toka Japan Mtumbani.
Tatizo kuu toka siku ya kwanza ni fuel consuption yake yaani nadhani lita 1 kwa km 6.
Nimekipeleka kwa watalaam wa mtaani...
Wakuu naomba msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosemaa..
Kwa hapa dar aapi nitapata fundi mzuri wa kueleweka na muaminifu wa AC maana nina gari ila inasumbua sanaa AC haifanyi kazi kuna...
Habari,
Kwa wenyeji wa Dar wapi naweza kupata kwa uhakika gearbox ya Terios iliyo katika ufanisi mzuri kabisa (sina uhakika kama mpya kabisa zinapatikana).
Nawasilisha
Hello Gentleman ,naombeni msaada wenu please. Nina Gari aina ya Nissan cube 3 kuna saa inafika mahali inavuma sana haitaki kuachia gia kabisa inaweza kuchukua kama dk tatu mpaka 7 ndio inaachia...
ningependa kujua kuhusu kupatikana kwa spares za gari aina ya Honda fit umekaaje bongo kwani nimetokea kuipenda nisije nikanunua ikawa majanga pale spare parts sake zitakapo hitajika. asante
wakuu Naomba msaada wa hii Gari(Nissan grolia) juu ya mambo yafuatayo
1. upatikanaji wa spea(vipuli)
2. ulaji wa mafuta
3. uimara wa Gari
wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. natanguliza shukran
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habali kinavojieleza hapo juu,naomba msaada kwa anayejua vizuri hiyo gari uzuri na mapungufu au changamoto zake kwani nimeipenda nataka kuagiza japani kupitia...
Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina...
Habari wana jamvi wenzangu...nilikua naomva msaada wa kiufundi katika engine ya gari aina ya Nadia. Inachanganya sana oil na petrol yaani naweka lita 3 za engine oil ila baada ya wiki moja namwaga...
Nataka ninunue gari moja tajwa hapo mwezi wa ujao mungu akipenda.
Naombeni ushauri kuhusu hizo gari ipi ninunue..
NB:sihitaji gari aina nyengine zaidi ya hizo tajwa hapo juu.
WATAALAM NISAIDIENI...
Msaada, kuna mambo matatu naomba nisaidiwe;
1) Fuel Pump ikiharibika ni dalili gani unaweza kuziona kwenye gari?
2) Side mirrors zikigoma kujikunja yaan kuzifunga je inaweza kusababishwa na nn?
3)...