Samahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
Habari zenu wakuu,nina Piki piki aina ya Boxer wiki iliyopita ilishindwa kabisa kupiga starter Fundi akaniambia Battery imekufa.Nikaingia Kariakoo nikanunua Battery imeandikwa VBT ikawa imepona...
Ninamiliki pikipiki aina ya gsm 150..kulingana na safar zang, speed yake hainirizishii. je kuna uwezo wa kuongeza capacity ya engine?? au je kuna engine zinazoingiliana na hizi pikipiki zenye...
Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita...
Make : Honda
Model : Edix
Mileage : 132,000km
Engine size: 1990cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2006
Doors : 4
Seats : 5...
Nataka kuchukua moja ya hizi gari.Nimeona ni vizuri kuomba ushauri kwenu wana JF kuhusu Changamoto, Uzuri na ubaya .
Chaguo langu ni kati ya haya:
1.Toyota Mark X
2. BMW 525i au 325i
3.Toyota...
TOYOTA ALFHARD.
cc 2990. 1MZ
Kikubwa nahitaji kufahamu + & - ya hizi gari upande wa engine 1MZ. Vile vile upande wa matumizi ya mafuta, kabla sijafanya maamuzi. Lengo ni biashara ya utalii kwa...
Baada ya ushaur mzur niliopata katika jukwaa hili niliona brevis hainifai juu ya service na uimara wa injin ikabid niagize premio 2003 cif usd 2750.. Ushauri namna nzuri ya matunzo ya hii gari na...
Habari!
Msaada kwa mwenye ujuzi/uzoefu gari yangu Premio e ina engen aina ya 7a_fe,cc 1800 kinachonitatiza ikitokea nikanyaga mafuta mengi mpaka rpm ikafika kwenye nne engen hunguruma sana na...
Teknolojia ya vyombo vya usafirishaji inabadilika kwa kasi sana kadri miaka inavyokwenda. Leo hii makampuni mengi yanayotengeneza magari yanazalisha magari mengi yenye uwezo wa kujibadilisha gia...
habari za majukumu,
hii gari yangu nimebadili oil pump,nimesafisha nozzle,service nafanya kwa wakati,lakini gari imekuwa nzito sana ukianza kuondoka,au ukifunga breki na kuanza kuondoka gari...
Wakuu bilashaka mmeamka salama. Naomba ushauri wenu katika hili. Kimsingi nataka nifungue kigarage hapa mtaani kwetu na nahitaji vifaa vya kufanyia kazi. Lakini binafus sijajua vifaa hasa aina za...
Kiki ya Pikipiki yangu aina ya Honda 110 imevunjika na imevunjikia sehemu ambayo haiwezekani kuchomelea, nimezunguka maduka kadhaa sijapata, naomba kuelekezwa maduka ya Dar ambapo naweza kupata...