[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?
T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea...
Salaaam wanabaraza.
Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu.
Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012.
Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba...
Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha.
Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha...
Wakuu.
Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele?
Ni...
Wakuu kwema?
Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo...
Wakuu habari za wakati huu,
Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya...
Toyota Voltz
Habarini wakubwa,
Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages
Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002.
Karibuni wakubwa.
Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa ...
Wadau nadhani mada nyingi zimekuwepo zinazohusu hasa Magari.
Lakini mada ya kuhusu pikipiki sijawahi kuiona ukizingatia Tanzania kuwa na wapenzi wengi watumiaji Pikipiki.
Naam, kwa hali hiyo...
Habari ndugu WanajamiiForums,
Nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla...
Wakuu kwema?
Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa...
Wakuu.
Kwa wapenzi wa Military jet fighters, nadhani tunakubali F-22 ndio the best hadi sasa.
Hii chuma ni latest generation (5th generation) na tokea zianze kutengezwa Marekani 2010 na...
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi...
Wakuu.
Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X.
Wachina bwana: Wameiiga Tesla...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari...
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka...