Waungwana nijiandae Kwa kipi maana nakaribia kumiliki kigari Cha cc ndogo yaani 600cc terios kid. Ifahamike kuwa katika ukoo wangu hamna hata Mmoja aliye wahi kumiliki gari[emoji23] Mimi ndio...
Naam kwa majina naitwa Selemani Sele.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model ...
Wadau nataka gari used ambayo ipo katika hali nzuri sana kwa Budget ya 12~13 M.
Machaguo yangu
PREMIO F
RAV4 kilitime
Masharti.
1. Sihitaji dalali nahitaji muuzaji awe mmiliki halali kwa...
Wakuu poleni na majukumu, leo niliingia mtandaoni kidogo kucheki magari ambapo nimepitia kampuni mbalimbali za uuzaji magari lakini katika kampuni zote kuna kampuni moja "Autocom Japan" naona bei...
Habari wadau,sina uzoefu kabisa wa Magari ila kuna hii gari inaitwa Honda fit naziona sana zinauzwa bei rahisi kiasi kwamba naona kabisa naweza nikaimudu kununua.Naomba kuuliza wazoefu kuhusu hii...
Engine ya gari yangu inanizingua kwa kunywa oil. Mafundi wanasema kubadili spare za kwenye engine ni kazi bure. Bora kufanya overhaul kabisa.
Lakini mafundi wengine wananitahadharisha kuwa...
Vp wana ndugu,
Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.
Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na...
Heri ya Chrismas wakuu.
Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda...
Kampuni ya magari ya umeme ya China imetengeneza betri ambayo inawezesha gari kutembea zaidi ya Kilomita 1,000 bila kuhitaji chaji.
Umbali huu ni sawa na kutoka Dar mpaka Shinyanga bila kuchaji...
Habari wakuu, poleni na kazi.
Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo.
Vigezo ni
1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka...
Wale wapenda mbio ukishanunua gari yako ya high performance karibu Arusha.
Kuna barabara nzuri sana za kujimwambafai.
Kuna barabara ya Arusha Babati au Arusha Namanga.
Yaani wewe tu.
Angalia...
Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed.
Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye...
Habar maboss poleni majukumu
Spare za honda crossroad zipo dukan kwa sasa
Nimeshusha 100pcs za shock up mbele jana na mpaka sasa zimebakia 20pcs nunua weka akiba kwa ajili ya gari yako maana...
Habari wataalam! Gari aina ya Carina Ti ghafla inachelewa kupokea ninapo iwasha na wakati mwingine hadi nikanyagie mafuta, nimebadilo Plug, fuel pump bado tatizo lipo pale pale, pia nikuwa mlimani...
Habarini. Naomba kupata elimu ya kuweka "tinted" kwenye magari. Ni %gani zinafaa kwa vioo vya mbele na nyuma? Muongozo wa sheria za babarabarani zinasemaje kuhusu tints? Faida na hasara A tints ni...