Habari za masiku wakuu bila shaka mko salama, hakika kwanza nakiri kupotea hasa kwa wale waliokuwa wanafaidika na makala zangu kuhusiana na elimu ya magari, Mambo yalikuwa mengi na changamoto za...
Ipo taa ya blue inayowaka kwenye dash board ambayo huanza na rangi ya njano engine inapowaka, halafu blue na kisha kuzimika kabisa.
Wakati nikinunua gari taa hii ilikuwa inachukia dakika kama...
Kama wewe ni mkulima, mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari... kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services...
Hello wataalamu wa hizi Howo [12/1, 8:59 AM] Jessie Song Dongfeng Mid-south: Nearly all 371hp tractor disappeared in China market months ago. I believe after a very short time, 375hp will also...
Wakuu Habari.
Kwa muda nimekuwa nikitembelea magari ya chini chini kama Premio plus Crown. Lakini naona sasa ni muda wa ndinga za juu.
Nafikiria kununua magari tajwa hapo juu. Na ukizingatia...
Kampuni ya kutengeneza magari ya Scania ya nchini Sweden imeadhimisha miaka 60 ya uwepo wake hapa nchini kwa kutambulisha gari linalotumia teknolojia ya gesi ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo...
Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023. Je nini uzuri na ubaya wa Toyota Verrossa? Je waweza mshauri mtu anunue Toyota Verossa kipindi hiki?
Maoni yenu tafadhali
Kama kichwa kinavyo uliza inamaana hakuna hata mtanzania mmoja mwenye kuweza kumiliki lamborghini AU ferrari mbona hii ni aibu ya kubwa sana inamaana taifa zima tunamiliki MIKANGAFU ya Toyota tu...
Wakubwa habari!
Naombeni mwenye ujuzi wa gari ya BMW Xi Ile ya 1590cc in terms of
1.fuel economy
2.durability/resilience
3.price yake
4.za manufacturing year zipi ni nzuri zaidi
Ni hivi, Jana nilitoa betri la gari kutoka kwenye Mitsubishi Pajero mini nikaliweka kwenye Toyota alphard kwakuwa hii alphard betri iliibiwa na jana nilitaka niitumie, Sasa shida ikaja...
Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.
Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano...
Wakuu Habari!
Ndugu zenu! Nina gari yenye engen ya 7a-fe Toyota nimetembea km 2700 oil imepungua Lita 2.5 ilianza taratibu mpaka kufikia hatua hiyo.
Engen Haina leakege kabisa ila imeanza kutoka...
Gari yangu aina ya Toyota Succeed. Inajiongeza kasi wakati inatembea. Mafundi karibia wote wanadai gear box inunuliwe mpya. Shida inaweza kuwa nini jamani?
Inajiongeza kasi kwa sekunde kadhaa...
Kichwa cha uzi cha husika
Nimesoma sehemu kuwa kampuni ya Toyota wanatengeneza zaidi ya magari 9.2M kwa mwaka na wana viwanda 67 vya utengenezaji duniani kote,, nikapiga hesabu kama ifuatavyo;
Kwa...
Habari ya muda huu wakuu
Nimejitokeza hapa jukwaan kuomba ufafanuzi wenu.mGari yangu aina ya Toyota Succeed....inatatizo la kujilesi (kujiongeza mwendo kasi) wakati
Ikiwa inatembea!! Inajiongeza...
Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars".
Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes...