Habarini wakuu,
Naomba msaada hapa, gari aina ya ractis pale nikiwa ninarudi reverse kuna sauti fulani kama ya kitu kinagongwa mara kwa mara au kama kinatetemeshwa hivi.
Nilienda kwa fundi...
KWANINI HAKUNA MTANZANIA ALIE WEZA MILIKI GARI HII
Licha ya Tanzania kuwa na watu matajiri Lakini kwanini mpaka sasa sijaona mtanzania yoyote alie weza kumiliki gari hii je kuna shida gani...
Gari aina ya Honda Crossroad ni aina ya gari inayotokea kunivutia sana kutokana na Muonekano wake, nafasi ndani ya gari ya Engine safi na hata Ground Clearance fasi kwa barabara zetu za huku...
Kumbe kumiliki Brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta. Halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana, wanaogopa nini?
Je, kwanini wenye Brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini...
Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.
Baada ya kutembea Kahama, Maswa...
What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if...
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani...
Habari mafundi
Nimekuwa mpenzi sana wa kutumia hii oil ya Total katika pikipiki zangu ila kutokana na maneno kuwa mengi juu ya oil ya total kuchakachuliwa nimeona huenda kuna ukweli.Sasa ndugu...
Wakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu...
Nani mwenye ladha, speed, durability, fuel comsuption, acceleration kubwa, comfortability na price.
Pia faida na hasara za kuwa na torque kubwa au ndogo.
Wasalaam,
Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu.
Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo...
Wakuuu habari za asubuhi,
Naomba msaada
Jua limeharibi dashbord la kwenye gari yangu.
Nimehangaika kutafuta spray.
Yoyote ile itayoweza kusaidia ku repair damage lakini madukani hakuna.
Kubwa...