Habari ya majukumu wadau. Nimejaribu kutafuta humu taarifa kuhusu Toyota Noah generation ya 2008 sijaweza kupata.
Naomba mwenye uzoefu wa hili gari anisaidie ili nifanye maamuzi. Nahitaji gari ya...
Wakuu wafanyabiashara hamjambo humu! Nataka kujua Bei ya fuso tandam ni kiasi gani mpaka naipata mkononi na pia lipi bora kuagiza au kununua mpya au kununua kutoka kwa mtu!
Recently nimenunua gari ndogo (babywoka).
Sisemi gari gani lakin ni mojawapo kati ya haya matano (IST, VITZ, Passo, Honda Fit, Suzuki Swift)
Leo asubuhi sana kuna issue nilikua nawahi pale UDSM...
Habari Ndugu
Je Kuna MTU alishawahi kuagiza Gari toka Kwa Hawa wanaojiita maajenti wa Beforward, lakini wengi wao ni watu toka Pakistan?
Je waaminifu ? au matapeli tu?
Wakuu habarini za majukumu, samahani mwenye uzoefu au anayefahamu utaratibu wa kununua magari kwenye minada ya Japani anisaidie. Nasikia mnadani magari ni bei nafuu.
1. Naomba kufahamu utaratibu...
Binafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni...
Uzi huu ni Kwa ajili ya wadau wa vyombo vya majini Kwa ajili ya shughuli za uvuvi,utalii na michezo.
Mnakaribiahwa Kwa ajili ya namna ya kufanya usajili,Sheria za vyombo vya majini, marekebisho...
Habari!
Mnawatoa mikoani kwa kuwaahidi kuja kuwafunza ufundi, ila wakija huku mnawatumikisha na wanakuwa mafundi wa kukariri na kujua kufunga na kufungua pekee.
Mnawanyima maarifa na kuwafanya...
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake.
katika...
Kama unaendesha gari lako ghafla taa hii nyekundu ikawaka ni vema ukatafuta mahali ambako pako salama ukapaki gari yako na ukaizima kwanza.
Rangi nyekundu iliyoko kwenye hiyo alama inatosha...
Habarini Wakuu,
Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services.
Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
Unajua Kuna jamaa kanishangaza sana nikaona nije niulize huku, natumia Toyota Porte Kwa Sasa na inanisaidia mizunguko yangu, Kuna jamaa yangu yeye ana Nissan Murano Sasa ananiambia Mimi natia aibu...
Leo nimepotelewa na funguo za pikipiki na nilikuwa nao mmoja tu sasa naomba wana JF mnisaidie mbinu mnazozitumia ili kuendelea kutumia chombo hicho cha usafiri
Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na...
Habari wadau,
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naombeni kikuzwa kuhusu magari haya. Hasa uimara, upatikanaji wa vipuri, utumiaji wa mafuta n.k
1. Toyota Corsa
2. Nissan Tiida...