JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu bukheri? Namuombeni mpate kunijuza...Kuna ma Ford chakavu nimeyafuma pahala. Nia yangu nataka yaleta nyumbani TZ.......Sasa hofu yangu ni hapo bandarini pamoja na watoza ushuru TRA ndio...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
01: Misfire Hii inatokea kwenye magari mengi kwa sababu mbalimbali. Kabla hujafungulishwa engine ukapigwa mpunga mrefu kwasababu ya changamoto hii jiridhishe kwanza kwa kufanya diagnostics na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. Naomba kwa wanaoifahamu na wenye experience na hii gari wanipe maoni yao kuihusu. Maana nataka nifanye maamuzi magumu ila bado sijapata user experience ya watumiaji wa hapa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu wataalam wenye uzoefu wa vyombo vya usafiri, hususan magari, naomba mnisaidie. Naomba kueleweshwa juu ya umbali ambao oil ya 10w-30 au 5w-30 inatakiwa kwenda. Au ni sawa na hizi za SAE...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wakali wa haya mambo naomba msaada wa kwa anayelijui hili gari vizuri, Anishauri ama nilichukue au niachane nalo!! Asante
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka kununua gari aina ya Toyota corona premio 2001-2007 lakini naomba ushauri niagize mpya au nitafute used humu kwenye mitaa ya bongo yetu? Kwa wazoefu naomba kujua Bei za used na zile za...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari...
29 Reactions
196 Replies
20K Views
Amani iwe nanyi. Kuna hii taa ya check engine inawaka gari nimeipeleka kwa fundi wamehangaika nayo siku nzima ila bila mafaniko. Na inawaka pale gari linapokuwa kwenye mwendo dk moja au mbili...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana Jf Zingatia haya kabla hujaamua kumiliki gari, au kama una gari basi endelea kuyazingatia yafuatayo ili pesa uliyotumia kuagizia gari yako isipungue kwa kasi. 1. Fanya...
22 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa hii hela mil 10 - 13, naweza kupata gari gani hapa mjini, hasa Toyota, ya kuzunguka Dar, mkoani kwenda mara 2 kwa mwaka? Ya mwaka gani? Niagize au niende showroom? Showroom ipi haina uhuni...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nikiwa katika pitapita za miangaiko ya asubuhi maeneo ya ubungo mataa nilimwona mwanamama moja akiwa amerelax akiendesha gari dogo sana nilipolisoma ni aina ya bajaji qute, kweli nikiri sijawahi...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
2 Reactions
11 Replies
2K Views
JF magari, habari? Heri ya mwaka mpya wakuu. Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia) Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW...
4 Reactions
96 Replies
16K Views
Nimebaini gari langu nikiwasha ac inaanza kutoa ubaridi kama kawaida lakin nikienda distance flani mbele ac inaanza kupoteza ubaridi labda mpaka niizime kwanza ac nakuiwasha tena ndo itaanza tena...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Mwenye kujua bei ya engene 3s tafadhali anujishe. Naomba kujua bei ya mpya, used na mswaki. Naomba kuwasilisha. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Jamani hi, Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii. Nawasilisha.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…