Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Coca-Cola takes marketing to new level with common names SHARE BOOKMARKPRINTRATING Bottles of Coca-Cola bearing local names: Coke has, once again, proved that their marketing teams are doing...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilidhani mtoto ameanza dalili nzuri za kuanza tembea! ============== ATCL about to lose city centre building thanks to Sh2bn debt A man walks past the Air Tanzania Company Ltd (ATCL)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajf,nilikuwa natafuta mtu mwenye masoko ya kaa nje ya nchi kama asia,ulaya na usa.nina mtaji wa kununua tani moja na kusafirisha,alafu faida itakayopatikana tunagawana .wasalaam
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MLM is a profession. For that being the case, it needs deeper understanding on how to build your organisation and have an access to financial success. There are different parameters to look...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Jamani naomba mwanye kujua njia mbadala ya kuweza kununua Luku kwa sasa, achilia mbali M-pesa,Tigo pesa etc.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau nimeeona majarida kadhaa yahusuyo matangazo ya biashara kwa dsm! Nimevutiwa sana na hii biashara ila changamoto imekuwa jinsi ya kuanza!! Kwa mwenye ufahamu, je kampuni ya printing...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wanajamiiforums! Kama mtu anataka serikali impe ardhi kwa kipindi cha miaka 99 afanyeje? Ardhi yenyewe ni kwa ajili ya kilimo na mifugo. Kuna watanzania wana elimu ya kilimo na mifugo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Vifaranga wa kuku wa kienyeji wanapatikana kwa sh.4,000. Wana umri wa wiki 2. Kwa atakayehitaji anitafute kwenye namba hii: 0753249862. KARIBUNI SANA
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nataka kumuagizia mtu gari lakini ni mtumishi wa serikali na ana tax exemption right.lkn sasa uelewa wake kuhusu hayo mambo ni mdogo sana.sasa ameniomba nimsaidie kumuagizia sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
amani iwe nanyi wapendwa, nahitaji mkopo wa mil 15 mimi ni mwajiliwa serikalini kama kuna benki yoyote inayoweza kukopesha huo mkopo au kwa upande wa aseti nina viwanja lakni havijapimwa sijui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Diesel power generators stuck with expensive stocksSHARE BOOKMARKPRINTRATING Energy principal secretary Joseph Njoroge: “We got the request which was sent to ERC and copied to the...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Mkopo wa milioni tatu (3mln) unahitajika Arusha, security ya mkopo ni kiwanja cha robo eka na riba tutaelewana tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa ni taratibu napaswa kuzifuata ili nifungue kampuni ya usambazaji wa dawa za binadamu na nazungumzia kampuni na sio pharmacy
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Fursa ya bure ya kuwa Mwanahisa (Mmiliki) wa kampuni ya kimataifa Anza mwaka wa 2015 ukiwa mmiliki wa kampuni mpya ya kimataifa iliyofunguliwa na wanachama wa Perfect Internet waliotapakaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita mitandaoni nikapata link iliyonifikisha katika kampuni hii ya social credit compani link ni hii hapa SOCIAL CREDIT COMPANY so nauliza hawa watu wanasema wanatoa mikopo ila kuna masuala...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni mpya ya simu ya Mycell, Bw. Yusuph Manji leseni ya biashara katika hafla...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Ndugu wana jamvi, naomba mwenye mawazo ya kunisaidia anisaidie tafadhali, hivi karibuni nimeanza kazi ya u agent wa magari yaliyotumika toka Nje hasa Japan, lakini wateja wengi wanauliza je ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu? Mimi ni mwandishi wa vitabu vya tamthiliya na mashairi. Kitabu cha Tamthiliya hii ninayoiuza chaweza tumika kwa mambo yafuatayo: 1.kutengenezea filamu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana na huduma duni za afya ktk maeneo mengi ya nchi yetu, nimefikiria kufungua japo maabara yenye viwango vizuri ktk kutoa huduma. Sasa naomba msaada kwenu wadau mnaofaham jinsi ya kupata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…