Dhumuni la post hii ni kutaka kupata ushuhuda wa mafanikio katika biashara na vikwazo mbali mbali tunavyovipitia katika majukumu yetu ya kibiashara.
Mpo waajiriwa mnaojihusisha na biashara kama...
Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa...
Wakuu naomba kwa wale wenye uzoefu mtupatie mauzoefu hapa!
Huko China kuna bidhaa gani ambazo naweza kununua na nikaja bongo nikapiga hela ya maana?
Unafuu wake ukoje kwenye isue ya kodi?
Wakuu naomba ufafanuzi
Kwa muda sasa nimesikia kwamba kuna makampuni ambayo hupata nafuu ya kodi( Tax holiday) lengo likiwa ni kuvutia uwekezaji nchini!
Naomba kuelewa katika hili
1. Ni...
Habari wana jf. Nahitaj mkopo wa mil 3 kwa thamana ya kiwanja title deed Bunju B na hati ya mauzo ya shamba heka 1.5 liko mailmoja. Kurudisha ndan ya miez 2. Namba zangu 0656573552,0762462687
TAARIFA KWA UMMA
Kuna uvumi unazagaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa mmiliki wa VIP Enginering and Marketing Limited, "aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira" amefungua kesi...
Salaam wakuu,
Kaka yangu anauza gari yake as mentioned above, kwakua yeye hayupo Jf, nimemfanyia courtesy ya kupost link ya infromation kuhusu gari hiyo aliyoweka facebook...
Msaada wahali na mali wanaJAMII, "Muhim sana".
Si mda mrefu sana tangu nianze kuekeza nguvu zangu kujishughulisha binafsi (kujiajiri), ila napata shida sana katika kukuza na kuimarisha biashara...
Hello Jamii forum members:
Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la...
Ukipitia maandiko mengi ya uchumi yanasema miaka ya sitini nchi nyingi za bara la Asia, zilikuwa na uchumi level moja na nchi nyingi za kiafrika kiuchumi. La kushangaza hivi leo wao kwetu ni...
Hi wakuu, natumaini mu wazma na mnaendelea vzur na shughuli za kila cku.Mimi nipo mwanza nahtaji kuonana au kupata contacts za watu wanaofanya biashara ya matalumbeta am in need of them.
Aksante
Hello JF, HERI YA MWAKA MPYA, 2015!!!
Tunashukuru kuwa Mungu ametuwezesha kuingia mwaka mwingine tena. Moja ya maombi ya kila mmoja ni Mungu kumfanikisha katika mipango yake.
Katika kufanikisha...
nina idea ya biashara nchini mozambique,ila tatizo ni mtaji,natafuta mzamini kwa wale wafanyabiashara wakubwa wenye bidhaa kama nguo za duka za kike na zakiume,wax,belo za nguo za watoto za...
Nakumatt to open 14 new supermarkets regionally
SHARE BOOKMARKPRINTRATING
A Nakuma
tt outlet in Kigali, Rwanda. The Kenyan retail chain is targeting entry into South Sudan and Burundi. NATION...