Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Natafuta business idea zenye capital ndogo ya kushuka laki tano Wadau nipeni ideas
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawezaje kupata mkopo wa laki 6 kwa kuweka dhamana ya title ya kiwanja changu kimepimwa na serikali kipo Mkuranga... Nitalipa hiyo pesa kwa muda wa miezi 7
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wanaojua au ni wazoefu wa biashara hii ya kununua magari yaliyopata Ajali na yale mabovu naomba tu share Idea,Nataka kujua mtaji pia njinsi ya manunuzi ili upate faida hasa hasa gari ziwe...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
nahitaji noah 2 wheel drive iwe namba c,isiwe imepata ajal ama kugongwa nina mil,8 tuwasiliane 0683142500
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Unga wa mifupa ya sangara kama chakula cha kuku na nguruwe.....hunapatika nchek kwa namba hii 0762655938
0 Reactions
5 Replies
3K Views
"Driving to Ifakara from Singida North this afternoon where I hosted an Irish Volunteer team to inaugurate 2 completed water projects at Malolo and Sokoine villages. Each project included a deep...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari ndugu wanajukwaa,hivi Benki wanatumia formula gani ktk ukopesdaji kwa watumishi?maana kila nikitumia ile formula ya I=PRT/100 mahesabu yanakuja tofauti
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini, Hili ni Wazo ninaloona laweza kuwafaa vijana wengi hasa wahitimu wanaosubiri kupata ajira na hasa wenye uelewe na ICT na uwezo wa kuongea na watu vizuri. - tengeneza business cards...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari GTs, lifuatalo ni miongoni mwa mawazo kadhaa ninayoyafikiriaga mara kwa mara, hivyo nikawiwa kushare na wanajukwaa nikitumaini pengine kuna watakaoweza kunufaika nalo. - chukulia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyumba viwili na sebule choo cha nje,haina jiko.Ipo Parestina nyuma ya mwika bar ni nyumba ya pili toka barabarani.Kodi ni 200000 ilipwe kwa miezi 4 anarudishiwa mpangaji kodi yke amehamishiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mnainaje biz hi wadau ukizingatia idad ya watu wanavyoongeza na uwepo wa mij mipya kama mtwara na lindi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA. HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu. Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na hatimaye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
My friends, our shilling has continued its depreciation trend and has today hit a 3 year low of 1745! This is a depreciation of 145 shillings since the start of the year. So friends no respite...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
For all who need an accounting package/software for a reasonable price and easy to use please contact me. The accounting package as the following features: Purchase Orders Goods Receivable...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
7 Bedroom House for sale at Sinza, Ideal for Guest house or Offices contacts: 0754 48 7777 0716 04 6 431
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ama kweli wahenga walisema adui yako muombee njaa. Escrow account sasa ya sababisha kupanda kwa bei ya pesa za kigeni na kuonyesha shahili dhahili madhaifu ya serikari katika kujenga uchumi...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Unahitaji mashine za bakery tuone najidakia store 0762612213
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace. Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Heshima kwenu ndugu zangu,, nimiaka mitano sasa nilihifadhi dola 200 za marekani,sasa nilipata elimu kidogo juu ya hisa(haikunitosheleza),sasa naomba ushauri nizibadishe hizi fedha kuwa za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…