SHARE
BOOKMARKPRINTRATING
President Uhuru Kenyatta and Safaricom CEO Bob Collymore aboard a matatu which took them from State House to KICC Wednesday to attend the launch of universal...
Habari wana jf,
Ningependa kufahamu faida za kununua shares kwa sababu natamani kununua lakini sielewi vizuri nafaidika nazo vipi hasa hasa kwenye mfuko wa Umoja UTT na SWALA.
Mawazo yenu ni ya...
BUSINESS ACTIVITIES IDEAS::::
1.Mining and quarrying of asbestos, mica, quartz, gem stones, abrasives, asphalt and bitumen, other non-metallic minerals, n.e.c.
2 Slaughtering, preparing and...
Wadau naomba kujua nauli ya ndege za FAST JET kutoka Dar-es-salaam hadi MWANZA ni shilingi ngapi kulingana na daraja?....alafu unachukua mda gani kupata tarehe ya safari tangu siku mtu alipo-book...
Hivi karibuni TBS wamesambaza vijana wao kwenye vituo vya forodha ili kuhakikisha bidhaa zinazoingia zimekaguliwa kwa ubora. Vituo hivyo ni pamoja na 'yards' za magari maarufu kama bandari kavu...
Wakuu, Wasalaam.
Naomba msaada kwa yeyote anayejua. Nimeagiza Daihatsu Terios Kid ya 2000 kutoka Japan. Bei yake ni pamoja na usafiri, inspection na marine insurance ni US$ 2350. Tatizo lipo...
naona watu wanapeanza namna ya kufanya biashara, kujenga, biashara ya kilimo, mayayi, kuku, uchawi na mengineyo
Mimi nataka kujua namna rahisi ya kuhamisha pesa nje ya nchi baada ya kupiga dili...
Hivi hizi apps za kwenye simu kama za mabenki etc
Zina cost kiasi gani kutengeneza na je kampuni za nje ya Tanzania zinaweza kutengeneza application kwa kiasi gani?
inalipa?
Salaam kwa wanajamvi,
Tafadhari naomba kusaidiwa kupata gear box mpya ya Pick up Hilux(automatic au vinginevyo) ya kipindi kati ya mwaka 2006 hadi 2014.hata kama ikipatikana ya isuzu coster siyo...
Ndugu zangu wana Jukwaa hili naomba msaada kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kujua kiwango ninachotakiwa kulipa Road License pamoja na penalty kwa sababu mda umepita kawaida huwa nalipa mwezi wa...
WanaJf.
Swala la ajira limekua ni changamoto kubwa sana.Na mbaya zaidi ni kwamba hata vijana wakiamua kujiajiri bado wanakumbana na changamoto mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine...
wadau, leo narudi kwenu na hili swali?? Je kuna uhusiano gani kati ya biashara na mikopo?? naaamini limepatwa ulizwa hapo kabla coz jf ina kila kitu?? but ningependa kupata knowledge na mawazo...
Poleni na job jamani mm mtanzania mwenzenu nataka kuanza kufanya kazi ya kutafuta madini naombeni kujua nitatambuaje hii ni almasi, zahabu, quartz namengine natanguliza shukuran kwenu kwetu yali...
Nataka Sana Kuagiza Vifaa Fulani Vya Usafi(WHOLESALE PRICE) Toka Chaina
Kuna Kampun Ilijitangaza Hapa Kuwa Inasaidia Wafanya Biashara Wadogo Kuagiza Bidhaa Kwa Bei Ya Kiwandani, Nimeongea Nao...
Bandugu,
Nilikuwa napitia wavuti ya TANAPA ili nijipatie habari mbili tatu za kujifunza, nikashangazwa na hii taasisi yenye kupigia upatu utalii wa ndani kutoweka lugha ya Kiswahili katika wavuti...
Ndugu wanajamvi napenda kuwaomba mnipe wazo hivi ukiwa na business plan unaweza kopa benki sababu ndugu wanajamvi Mimi namtaji Wa milioni moja pamoja pikipiki boksa tu.Naomba mawazo yenu wakuu.
Wakuu heshima zenu.
Nina interest ya kuwekeza kwenye hii sector ya ufugaji either kwa kushilikiana na NARCO au na watanzania wenye blocks.
Eneo liwe kwenye Kikula Ranching complex ambayo...
Fursa ya biashara inagonga hodi nchini Tanzania. Ni kampuni ya kimataifa inayoaminika, inatoa fursa kwa vijana makini wa Kitanzania wanaotaka kujiajiri na kutengeneza kipato kikubwa. Haijalishi...
Development partners to bankroll partly
Natural Resources and Tourism minister, Lazaro Nyalandu
The ministry of Natural Resources and Tourism has launched a five- year national strategy to...