Habariinii
Swalii kama linavyojieleza wadau ni mkoa gani naweza kwenda kununua mchelee wa bei za chini na ukawa fresh bila kuwa na chenga nyingii. Yanii unaweza tu kununua ukaupaka mafuta na...
Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea...
Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF...
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.
2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna...
Habarin wakuu,msaada kwa mwenye kufahamu haya mambo ;
1.Mfano umefungua akaunti UTT-liquid fund na ulishakamilisha usajili ofisini kwao,then baada ya mwaka ukataka ongezea mfuko mwengine mfano...
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada nataka kuanza hii biashara naomba mniambie upatikanaji wa mashine ya kukamulia miwa, soko la miwa linapatikana wap hapa dar es salaam pia changamoto ya hii...
Hellow good people!
Baada ya bitcoin kuvumbuliwa kama cryptocurrency ya kwanza kuanza kutumika duniani , kumekuwa na shauku ya watu wengi kutaka kuwekeza katika bitcoin lakini inawawia vigumu...
Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu...
Habar wakuu huku ndani,
Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha...
Habari waungwana ,natamani kujumuika katika biashara ya uuzaji wa vitambaa hivi vya wakina mama ambao umeshamiri na mita moja inauzwa sh 5000
Niko Dodoma, mwenye uzoefu na biashara hii na mahali...
Tupeane and mbinu za kuanzisha viwanda vidogodogo, kama vya pipi, biscuit, sabuni za kioande, ungrateful, maji, kiwanda cha tooth sticks, plastic materials-viti, mesa.etc, fish filet...
wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost...
Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=
Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu...
Tafadhalini wadau naombeni shule kamili katka hili.
Napokeaje hela toka america!? Au ulaya!? Nahitaji shule tu nijue mbinu, njia za miamala hiyo.
Nipo empty kwa hilo. Sio kwamba nna mchongo wa...
Habari Wana great thinker
Katika harakati za kuwaza nitafanya biashara gani na nikae wapi nimekaa nimefikilia nikaona dar es salaam utakuwa mkoa Bora kwangu Kwa kuanza maisha.
Umri miaka 25...
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.
COCACOLA
PEPSI
BEER
Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara...
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Wananchi kutoka katika maeneo mbalimbali ya Halamshauri ya Wilaya ya Mtwara, wameendelea kupata elimu ya matumizi sahihi ya fedha ambayo yameandaliwa na Wizara ya...
Habari wanabodi, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru Sana, sana tena sana! nilianzia na kuomba jina la biashara kwa ajili ya kuanzisha biashara ya stationery ambayo kwa kiasi kikubwa idea...