Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

natumai ni wazima wa afya,nilikuwa nataka kujua eti nauli kutoka tanzania mpaka south africa kwa ndege ni shilingi ngapi hasa fastjet?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hoja hii inagusa wanaume na wanawake wote wenye vitambi utaratibu uandaliwe wa kisheria ili hivyo vitambi vyaoo wavilipiee kodi na hili litasaidia kuleta afya bora na itafanya sehemu za mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
2 Reactions
25 Replies
15K Views
Wana jf ,husika na elezo hapo juu, nina kampuni yangu ya ltd. Ila eneo la ofisi na workshop havipo eneo moja. Sasa ninataka eneo la workshop lisajiliwe kama sehemu ya kazi je nifuate utaratibu...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Habari wadau . Najua huku naweza kupata ushauri mzuri wa kiiashara. Na jambo dogo tu nataka kuuliza kwa wazoefu wa kusafiri pamoja na wafanyabiashara wakubwa . Nna Access ya kutumiwa mzigo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari JF people, Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa wadau,kuwa unaweza kununua bidhaa nje ya nchi (online)mfano: nchi kama,UK,S. Afrika ,japan, china n.k kwa ajili ya matumizi yako na ukatumiwa kama parcel kwa njia ya Western...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF. Ni karibu mwaka sasa tangu nimalize masomo yangu ya chuo kikuu na hatimaye kutunukiwa shahada yangu ya kwanza. Nimekuwa nikituma maombi ya kazi sehemu mbali mbali nikiamini kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba mwenye ufahamu katika hili anijuze, Kuna jamaa yangu yupo Dar kaniambia zinatafutwa hela za zamani zipo nyingi tatizo miaka ilotajwa hakuna kabsa. Nilipoingia kwenye makolokolo...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ijumaa wiki iliyopita nilipeleka gari langu aina ya TOYOTA SPACIO(old model) kwa fundi ili kubadili CV joints maana zilikuwa zinapiga kelele. Baada ya kazi nilikabidhiwa gari langu lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I am online based travel marketer working with hotels and resorts on social media management and online reputation management. I have been working with some property sales managers online through...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu waKUU Ikimpendeza MUNGU mwishoni mwa Mwezi ujao nategemea Kumfungulia YF MIN MARKET maeneo ya MBEZI ya KIMARA bado cjapata Eneo..! Ninachoomba kwenu ndg zangu Wapi nitapata Bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nianze kwa kuwauliza wanajanvi, ni asilimia ngapi ya pato lako halisi hukatwa kama kodi kupitia mfumo wa lipa kwa kadri ya upokeavyo (PAYE)? Waziri Kombani kaueleza umma bungeni hivi punde kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Hapa naomba ushauri. Mimi ni mwanamke mjasiriamali. Shughuli yangu ni kununua ndoo za mafuta zilizoisha na kubadilishana na kuku wa kienyeji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji na Msumbiji kwenyewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kuhusu huu mtandao wa Shopping online. Kama kuna mdau alishawahi kununua kupitia mtandao huu kwa Tigo Pesa. Wanaaminika na delivery ikawa successful? Naomba kuwasilisha wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
waheshimiwa habari zenu, hivi kwa sisi watumishi wa uma/serikali ule msamaha wa ushuru wa magari bandarini bado ipo ama umefutwa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nategemea kuvuna mahindi hivi karibuni (Tanga),ningependa kuja kuyauzia Dar kwa gunia ila sijafahamu soko lake likoje na wanunuzi hasa ni wakina nani..Kiujumla sijui pa kuanzia kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wa hili jukwaa tukufu Wakuu nahitaji kujua brand gani kutoka UK ya vifaa vya umeme kama balbu,nyaya,socket,switch,circuit breakers,extensions,multi-plugs,nakadhirika ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha husika mm nina tumia Huawei Ascend y 210 nina taka kubadilishana na mtu yeyote mwenye simu aina ya Tecno L3 ila simu yake iwe nzima mm yangu ni nzma kabsa kwa mawasilaano...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…