Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa ...
Unsuccessful people criticize: They will find something wrong with everything and will blast your failures and shadow your successes. They will be the negative voice that doesnt believe in...
Wadau habari zenu, kama nilivyoeleza hapo juu nahitaji mtaalam yoyote kutoka wizara ya madini anisaidie kunieleza kuna aina flani ya mchanga wa madini yanayotumika sana kwenye viwanda vya chuma...
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya...
For three days I spent at Hong Kong, I did not see any expensive vehicle like Toyota Landcruiser GX or VX - our government should do away with luxuriously cars instead use economy cars like NOAH...
Habari Wakuu!
Nonahitaji kujua ni duka au maduka gani jijini DSM naweza pata nguo classic za watoto kwa bei nzuri za jumla.
Ni imani yangu hapa JF ni kila kitu, nakaribisha PMs pia.
Pawaga ni tarafa ipo Iringa vijijini, inazalisha mchele ulio bora na radha nzuri kuliko popote Tanzania. Nimetumia mchele kanda ya ziwa, Morogoro, Manyala, Kyela na Rudewa ila sijaona mzuri kama...
WANDUGU, kwa yule anayejua hapo dsm nitakapopata nguo za watoto kwa bei ya jumla kwa wale wanaodili na wholesale tu hasa hapo kariakoo etc naomba mtuelekeze. asanteni sana.
Jaman waungwana nashida navidola vichache ila nataka nijue siku ikipanda ndo nikabadili ili iwe tz sh sasa naombeni msaada kupitia simu or PC nikiwa nyumbani niangalie WAP nijue siku hiyo dola...
habari wadau? kwa wale wanaohitaji kuku wanyama wapo wakutosha naomba tuwasiliane kwa 0753359245 nip mlandiz kibaha naomba pia ushur wenu wa masoko ya dar ambap madalali hawatatumika. ninakuku...
WALILIA SIJUI COW OH COW VILE LAKINI MWISHOWE MWENDA TENZI NA....................WANASEMA MAREJEO NI NGAMANI
Tanzania, Burundi join Single Custom Territory...
Mwezi wa 9 napata kiasi cha mil 8 sasa nataka nijaribu biashara ambayo itayofanya nisijutie kuiterekeza hela yangu hiyo.NAOMBENI MSAADA WA MAWAZO WAPENDWA,NDUGU WANA JF.
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln
Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu...
Mimi ni mtumishi wa Umma nimeajiriwa nikiwa mfanyakazi katika wizara ya elimu TAMISEMI
Ninawazo la kufungua mradi wa kilimo ili niweze kujikimu na maisha mbali na kutegemea mshahara tu
Je, ni...