Wakuu naomba mnieleweshe kama umeagiza gari bado haijafika na ni ya 2005 lengo kukwepa dumping fees, leo serikali inapunguza miaka ya dumping fees itakuwaje? Kwamba ntatakiwa kulipa kodi mpya...
Kipo karibu na kituo cha daladala kwenye barabara kuu ya Chanika - Mvuti,kinatosha kwa ujenzi wa nyumba ya kukaa,tambarale na ni karibu ya makazi ya watu.
Unaweza fika kwa kupitia njia ya gongo la...
Habari wana JF.
Tafadhali naomba kwa yoyote anayejua kampuni inayo/zinazonunua mahindi
mwanza anisaidie jina la kampuni au hata na contacts kama anazo.
Natanguliza shukurani wadau...
Nakusudia kufungua auditing firm, naomba wenye uzoefu mnisaidie procedures na requrements za kufkia adhma hiyo....na je ni procedures na requrements hizo hizo kufungua accounting firm?
Alarm over safety on Dar commuter train PONGEZI KWA JIRANI KUIGA MTINDO HUU
The overloaded Dar commuter train is seen in this file photo cruising towards...
By ADAM IHUCHA
Tanzania's partial ban on the export of raw tanzanite over the past four years seems to have been ineffective in controlling shipments of the gemstone to India.
In July 2010...
Wakuu hebu naombeni msaada wenu especially kwa wale wenye uzoefu na watalaam.
Tanzania (hapa Dar especially) kuna mafundi/kiwanda cha kutengeneza parquet nzuri za sakafuni? Nimejaribu kuzunguka...
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye idea ya Biashara za Mazao yatokanayo na Kilimo,ufugaji,n.k (Agribusines idea) Anisaidie.
Natafuta Innovative idea ili ika-Compete kupata Funds.
Ila IDEA Iwe katika Sekta...
nataka ninunue kwa ajili ya kilimo cha ufuta, mihogo, mananas, michungwa na miembe ya kisasa. Je itanifaa hyo power tiller? Naomba kujua na gharama zake
Nyumba ipo mtaa wa sanawari karibu na soko la sanawari ina vyumba viwili, sitting room, na store na ina eneo kubwa Maji na umeme kwa kuwasiliana piga 0767 931887
NIMESOMA PAHALA HUMU JF ETI MAFUTA YALIOGUNDULIWA KENYA KAMA MAP UNAVYONA ETI NI YA TZ VISIMA VYA TANGA. NA GESI YA MOZAMBIQUE NI HIYO NI KAMA IMO NDANI TZ MPAKANI NI VIPI. SI TZ ITOE RAMSHA...
Heshima kwenu wakuu!!Mimi nimtumishi wawizara ya Afya ninataka kuchukua mkopo Wa fedha Benki.Je ni benki gani ambayo ina masharti yaliyo nafuu na riba ndogo.
Naomba USHAURI tafadhali jamani.
Mbali na gharama za TRA(Import duty,Excise duty & VAT), ningependa kufahamu gharama zingine ni zipi pamoja na viwango vyake?
Ninazofahamu mimi ni zifuatazo hapo chini, ila gharama(figure) zake...
Hili swali litaonekana la kizushi kwa baadhi ya watu. Ila nataka kujua more details kuhusu hii makitu maana imeshakuwa ni industry sasa. Kuna watu wanatengeza hela kwenye vyakula, kuna watu...
Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei...
Habari zenu waheshimiwa!
1: Naomba mnieleweshe kuhusu mabadiliko ya gharama za uchakavu (Kuanzia miaka 8 na kuendelea)wa magari toka nje yaliyotangazwa na waziri wa fedha hivi karibuni. Je...