Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Tokea kuanza kutumika sana kwa neno ujasiriamali na mafunzo mengi ya ujasiriamali kutolewa, kila mtu anayefanya biashara ya aina yoyote anajiita mjasiriamali. Hata mtu mwenye biashara yake...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
WAKUU HABARINI,Naomba taarifa kwa anaye jua maeneo ambayo solo la mpunga au Mchele lipo vizuri. ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza swali wakuu. Nina ndugu yangu yuko Ulaya alienda kusoma alichukua Law degree ya kwanza na ya Masters pia alichukua sheria zaidi ni mambo ya corporate law. Huko aliko alifamikiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanajf naomba kama kuna mtu arusha anauza haya maua anijulishe kwa ni pm.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu wangu naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma nataka nifungue ICT business tunduma itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet office zinapatikana hapo?
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Nataka kufungua maabara ya kisasa lengo kuu likiwa kukuza kipato changu na kuwasaidia wagonjwa wanaosota katika foleni za muda mrefu hospital. Jengo la kuwa maabara lipo katika hatua za mwisho...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau nimesoma gazeti la daily news la leo ukurasa wa 19, taarifa kama hii niliwahi kuisoma ktk magazeti mengine. Mimi nashangazwa, nakerwa na ninasikitika kwa tabia hii ya serikali na taasisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf, Nawasalimu. Mimi ni mkulima wa mahindi kigoma, kutokana na bei isiyo ridhisha ya mahindi huku kigoma kwetu nimeona nivema kama nitayasafirisha nakuyauza kwa bei ya jumla kama bei ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Stockholm, 4 June, 2014 – The subsidiary of Millicom (Stockholmsbörsen: MIC) in Tanzania, Tigo, joined with Airtel and Zantel today to announce Africa's first agreement to allow their...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
toka DAR, Salam kwenu wakuu Ni kwamba hivi karibuni natarajia kuanza masomo ktk chuo flan hapa mjini.... mbali na Ada, nina Shiling LAKI 8 hivi kama mtaji wa biashara, sasa wakuu naomba...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Wakuu ni masikitiko makubwa kwa wajasiriamali wote waliohifadhi mahindi ghalani kwa kuwa mwaka huu hakuna bei kabisa na inaonekana kuna chakula cha kutosha pia katika mizunguko yangu katika mikoa...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wana JF wenzangu. Bila kupoteza muda me nipo huku border burundi nasikia tu kuna huduma ya M-Pawa kutoka Vodacom ila nashndwa kuielewa vizuri inafanyaje kazi, je faida na hasara zake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
INVESTMENT OPPORTUNITY MEETING. Every now and then, maybe twice or three times in a lifetime, an opportunity comes along that has the potential to change your life in a pivotal way. They are...
1 Reactions
1 Replies
662 Views
Tasisi ya Billia investment and sports inahitaji maafisa michezo na burudani wawili. Sifa wawe na michezo au burudani kutoka chuo chochote, barua na vyeti vitumwe kupitia chambobillia@yahoo.com...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Ophir Energy (LON:OPHR) revealed the latest success in Block 1, offshore Tanzania, where there has been another new discovery. The London listed oil and gas firm has a 20% interest in the Block 1...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Habari zenu ndugu, Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mimi ni mwanafunzi wa ninaeingia second year katika chuo kimoja hapa Mwanza.Nina kama milion 1.5 nataka nijifunze biashara stil nikiwa bado nipo chuo. Naomba ushauri wenu wadau nini nifanye na ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
The main energy source is water current is circulated through the ‘looping mechanism' and it will generate the turbine and will activate the generator for electricity creation. Five...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…