Ndugu zanguni wana Jf hasa jukwaa hili la bishara & uchumi. Naomba nisaidieni kwa anayejua uzuri na ubaya wa pikpik aina ya chuma kabla sija inunua.
Natanguliza shukran zangu kwenu.
Jamani nina order ya vitlfuatavyo:
1. kupeleka sangara Ulaya....kwa mwezi jamaa wanataka tani 50
Je naweza kupata contacts za wauzaji?
Je kwa kilp moja dola ngapi?
2. Nahitajo kununua...
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe...
Tanzania haiachi kushangaza. Mawaziri na watendaji wetu wengi wa serikali ni mizigo mikubwa kabisa kwa Watanzania. Prof. Magembe anasema kuwa Tanzania inafikiria kuchuja maji ya bahari ili...
Ni majumaa kadhaa zimepita toka kiwanda cha ngozi Arusha kufungwa kutokana na kuwa mazingira ya kiwanda hicho hakiridhishi kwa kukithiri uchafu na kutiririsha maji machafu kwenye maeneo ya makazi...
Poleni na majukumu wana JF
Pamoja na kuambiwa kuwa uchumi wetu umepanda lakini hali ni mbaya mno, nasema hali ni mbaya tena mno wafanyabiashara/wajasiliamali wa kada zote wanalalamikia ugumu wa...
Habari wana jf na ishu ya kibiashara nataka kufanya,kuna shamba nimepata kigambon la eka4,nina barua za kijiji za umiliki ila sina title deed na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa hili na sio...
Ni Software rahisi sana kutumia (Hauitaji kusoma Accounts wala Computer).
Inajumuisha mambo yote ya Accounts pamoja na Inventory, Payroll. Pia ina-support Multi-Branch, Multi-Currency. na mambo...
Poleni na kazi wanajf na pongezi kwa mengi ambayo tunaendelea kuelimishana na kujuzana hapa jf.
Mimi pia nipo hapa leo kuomba kujuzwa soko la asali ya nyuki wadogo na wakubwa maana nina sister...
Shalom,
Mimi ni mjasiliamali, nimeona fursa ya kuendesha kampuni ya uwakili na masuala ya bima. Tatizo sio wakili na sina cheti chochote cha Bima,
Nahitaji mtu ambaye ni wakili tujiunge pamoja...
Wanajamii wenzangu,
Leo nimekuja na wazo hili, nimetokea kutamani/kuanzisha biashara hiii, naomba mawazo yenu ...Eneo la biashara natafuta sehemu ya kuanzia tegeta mpaka boko njia panda ya...
Kumezuka wimbi la kujenga bandari kavu huku mbezi beach. Sasa hivi ziko mbili zinajengwa! Cha kushangaza wamiliki hawa hawana vibali kutoka manispaa lakini wanajenga usiku na mchana! Ujenzi...
wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata...
Mheshimiwe sana wana JF.
Katika harakati zangu za kujiendeleza kimaisha nimejiwekeza kamshahara kangu wee mpaka kametimia mil 9.
Before nilikua na option moja tu niweke kakitimia ten em nikafanye...
Nyumba ina vyumba3(1master), sebule, jiko, dinning,public toilet
Kiwanja kina Hati
Bei milioni50
ipo tabata kinyerezi 0.5km kutoka barabara ya lami.
Cont: 0752953860
Tazama nyingine>>uncledalali