Wakuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbaya sana na kuna mtu anataka kuniuzia hili gari. Kabla sijanunua naomba wajuzi wanijuze ie upatikanaji wa spare, ulaji wa mafuta, ubovu etc. Asanteni
Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na shirika la ndege la precision Air mara kwa mara, katika kusafiri kwangu nimekuwa nakerwa sana na wafanyakazi ndani ya ndege wa kampuni hii wanavyojifanya...
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account...
Wana jamvi ninaomba msaada kujua gharama halisi za ushuru kwa TRA pale unapoagiza gari nje ya nchi, chukulia gharama za kununua ni dola 990, ukijumlisha na CIF na Inspectin inafika labda dola 2400...
Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna...
Habari za muda huu wadau.
Nimeona gari hilo la mitsubishi, nikavutiwa nalo sana kwa uwezo wake wa kubeba abiria jumla ya saba ukilinganisha na x-trail yenye uwezo wa abiria 5.
Kabla ya kufanya...
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Unafahamu nini kuhusu hii biashara za network marketing! Je!
1) Kuna uhusiano wowote na imani za watu?
2) Kwa nn watu wako crazy juu ya hii biashara hasa wale...
Nilikopa ikabaki miezi 3 nikaongeza mkopo na kulipa ule uliobaki kwa mkopo mpya.makubaliano ilikuwa wasimamishe makato ya zamani au warejeshe hicho kiasi kila mwezi kinapoingia toka hazina.hakuna...
Habarini za hapa.
Jamani nimekuja huku nina hoja yangu kidogo waheshimiwa, inawezekana kuna mtu huku anatamani kuwekeza kwenye kilimo lakini kutokana na majukumu mengi anashindwa kusimamia...
Tanzania's shilling fell for a seventh week in the longest stretch of losses in almost three years as declining commodity exports led to a lack of dollars in East Africa's second-biggest economy...
Mm ni kijana npo katka harakati za kuanzsha an Association ambayo itakuwa based kwa wale watu ambao ni unemployed au hata waliokuwa employed ila ni katka kutowa sauti ya pamoja juu ya swala zma la...
NEWS
By ERICK KABENDERA The EastAfrican
Posted Saturday, May 24 2014 at 19:54
IN SUMMARY
Mis-invoicing of trade facilitated a whopping $60.8 billion in illicit financial flows out of...
Watu wanaofikiria kupata pesa kwa kufikiria kufungua duka hawana tija katika nchi/tija yao ni hafifu.
Nasema hawana tija kwa sababu wao si wazalishaji, (wanachukua ready made), wao ufikiria...
WAKUU NIMEONA HILI SHINDANO KWENYE BLOG MOJA HIVI, NIMEONA SI MBAYA NIKA-SHARE NANYI.
Taasisi isiyo ya kiserikali nchini Tanzania ya Economic Empowerment for Tanzanians (EET) ikishirikiana na...
KAZURY Ltd
Kwa wanaohitaji huduma ya kupiga rangi, nyumba mpya, nyumba renovated, frame, chumba ama sehem ya biashara tunakaribisha sana
Kama utapenda ubunifu wetu tukuchagulie rangi karibu...