Wanabodi,
Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi...
habari wakuu nina duka langu hapa mjini ila nataka niwe naenda kuchukua mchele mwenyewe huko morogoro asa naomba kwa yeyote anayewefanya hii tusaidiane ili wakati anakodi let say gari nzima na mie...
Sina haja na salaam,(nina hasira).hivi nyie tigo...wenzenu wanakazana kuongeza vifurushi nyie mnapunguza,sasa kabla sijawahama rudisheni kile kifurushi cha kupiga mitandao yote cha dk 12 fasta.
Habari wadau, msaada kidogo nilikuwa nawazo la kufungua dry cleaner, nilikuwa nataka kujua ni vifaa gani vinatakiwa kuwemo ikiwemo mashine nzuri na upatikanaji wake na bei zake ambazo ni standard...
Habari zenu wakuu...Naomba kupata msaada na ushauri kuhusu miti ya mbao kama inaweza kukua vizuri bila tatizo kwa mikoa ya Pwani na Dsm. Ninauliza.hivyo kwasbb udongo wa mikoa ya pwani si sawa na...
ver wondered why it is so easy to buy goods online and not services? Or do you find it hard to find a reliable and trustworthy professional in your area or one who can perform a job up to par...
Wenye mahitaji ya madirisha.milango na vifaa vyovyote vya aluminium tuone Ndanda Aluminium tuko Toangoma.hata kama huna pesa ya kutosha lipa robo tatu unafanyiwa kazi na robo utalipa kwa...
Dar-Reunion Island direct flights on cards
May 05
13:512014
Arrangements are underway to have direct flights linking the French La Reunion Island to Tanzania, it was revealed here over the...
Habari zenu wanajamii,
Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda...
Limekuwa ni tatizo sugu hususan kwa taasisi za serikali kuita wasaka ajira masikini kutoka maeneo mbalimbali ya nchi bila kuzingatia haki za binadamu kwa kuwalipa gharama za usafiri, malazi na...
Habari ndugu zangu wa JF nimekuja tena hapa kwenye safu hii kuwakumbusha kwamba viwanja bado ninavyo na bei zetu bado ziko chini kulingana na mahitaji yako. Viwanja 20* 25 bei ml 4 kilomita toka...
Mwanza.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele amewataka wachimbaji wadogo kutumia vizuri fursa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kukopa mitaji ili kununua mitambo...
Wanabodi,
Ingetrex Tanzania, 2014, ni fursa za kushiriki biashara za kimataifa kwa bidhaa na huduma ambapo sasa kwa mara ya kwanza, fursa hii, imeletwa Tanzania ambapo itaanza kwa maonyesho ya...
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido-ARUSHA kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati...