Habari zenu wakuu kwa ujumla, natumai mu wazima wa afya na kwalio na matatizo ya kiafya poleni ila Mungu muweza yote natumai atawaponya ili tujumuike wote katka ujenzi wa taifa kwa ujumla...
Wakuu nilikuwa napitia document za tenda zilizo tangazwa na GPsa kwa mwaka ujao wa fedha 2014-2017.
Kipengele cha kwenye gharama ambazo supplier inabidi ajaze anapoomba tenda hiyo ndiyo pamenipa...
Ni nzuri inafaa kwa ku install Windows au External. imetolewa katika machine ambayo imevunjika Screen.kwahiyo ipo vizuri.bei haipungui.kama upo Dsm nichek nikuletee ulipo. 0716-844978
Wadau naomba msaada nataka kufungua company ya clearing and forwarding, kwa mwenye uzoefu naomba, whole process plse na pia naomba kujua vizingiti ambavyo vitafanya nisiweze kufanikiwa au...
Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew ni Gospel singer, lakini hapa nimekuja kama Manager wa Matendo Andrew. Nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo kazi, kazi ni hii hapa. Nimesha record album...
Germans Plan U.S. $1 Billion Fertilizer Plant in Dar
BY DEOGRATIAS MUSHI, 22 FEBRUARY 2014
NATURAL gas in Tanzania has attracted a company from Germany which intends to invest over one billion...
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
tunahitaji magari kwa ajili ya kokoto kutoka Lugoba-Dar Ubungo Terminal, tunahitaji semi-trelar,tunalipa tani moja 19,500 na ushuru tunalipa sisi JV LOGISTIC COMPANY....Wasiliana kwa namba...
Mimi nina shida kuhusu hii AIRMAIL, Nimetumiwa package kutoka china kwa njia ya AIRMAIL lakini sijui hiyo package ntaipaje itakapofika na sijui itafikia ofisi ya carrier gani. Tafadhali naomba...
Wafanyabiashara wa Nyaya
Kama wewe ni mfanya biashaya wa nyaya, hasa za simu, kompyuta na vifaa vya mziki.Traders Easy Way tuna collection ya nyaya mbalimbali zenye ubora mzuri.Ili kujua...
Habari wadau,
Tunahitaji sehem tunayoweza kukodisha mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mlima na mawe/mwamba, nafikiri zinaitwa Scarveter (sina uhakika na jina na spelling). Kampuni iwe ya...
jamani bado nahitaji pango au apartment ya kupangisha kwa ajili ya madarasa ,nina mpango wa kufungua education centre.Kama ntapata ya madarasa mawili au matatu siyo mbaya,au hata kama ni...
Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums