Niko posta tena city centre lakini network mbaya mbovu,nashindwa hata ku download picha
Na hili tatizo ni la kila siku,sasa sijui network inazidiwa au ni mitambo mibovu.Watu tunaweka bundles za...
Hii kampuni ilikuja kwa mbwembwe! Oooh tumekuja kuwakomboa wazawa nao wamiliki uchumi wa nchi yao! oooh tunawaacha wageni wanafaidika na rasilimali zetu.
Oooh hii kampuni ina inaongozwa na...
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz?
Shukran.
Wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh...
Nilikua wakala wa buton pay, nikauziwa mashine(printer) na simu kwa ajili ya kufanyia kazi. Baada ya kuitumia kwa mda, simu ikaanza kusumbua, baada ya kumpigia mfanya kazi wa buton pay aliyeniuzia...
Kenya launches Islamic studies curriculum in madrasasA new curriculum being piloted in 50 religious schools in Kenya aims to streamline Islamic studies and ensure extremist teachings are not...
Wadau habari za mchana.?
Mimi ni mtaalamu wa masuala ya Sales & Marketing kwenye mahoteli kwa zaidi ya miaka 8 sasa.Ninahitaji kupata hoteli nyingi toka maeneo mbalimbali nchini ili niweze...
Nimemaliza kufanya utafiti wangu siku mbili zilizopita, nafikiri ni vizuri baadhi ya mambo machache nikayaweka hadharani ili wale vijana wetu wenye nia ya dhati ya kujikwamua kimaisha waweze...
Massawe Ernest & Young, recently conducted a survey with the above title and compiled a report (see link below).Does anyone have a copy of the full report? Or can someone get a copy of that...
Ubinafisishwaji ni tendo ambalo linahusisha kuamisha mali ya umma ama moja kwa moja au sehemu ya mali hiyo kutoka kwa serikali kwenda kwa wadau binafsi. Lengo kuu ni kutaka kuleta wadau wengi...
Kuna gari ipo Sokoni ni Mazda Premacy na ipo hapa Tanzania, Dar. Gari hii inamilikiwa na Afisa mmoja wa Ubalozi na plate namba yake ni ya kibalozi. Kwahiyo kama nahitaji kununua lazima niifanyie...
Kampuni ya EAGLE ALUMINIUM AND GENERAL SUPPLY Inakutangazia Bidhaa za Madirisha ya Aluminium Bei kwa Sqm Sh. 120,000/= & Baluster from Turkey Kwa Mita ni Sh. 200,000/= GRIL (Bei inategemea na...
Nauza barbershop yangu ipo mitaa ya Sinza,kutokana na kufanya kazi nnje ya dar usimamizi unakua mugumu ivyo kwa yoyote atakae itaji awasiliane na mimi kwa no 0653441748