TRA kama taasisi ya serikali ya kukusanya mapato inapaswa kujua kuwa kupandisha kodi hovyo ni kuchelewesha maendeleo ya Taifa.
Pamoja na hayo, wafanyabiashara ndio watu walio Kwenye hatari kubwa...
Nairobi has been ranked amongst the top five enviable and exciting cities in the continent to live in.
The Kenyan capital is ranked as the third liveable city to live in amongst the listed 11...
Wadau,
Naomba mnishauri, mimi ni muajiriwa wa selikali, natamani sana kufanya biashara, mtaji kwangu sio tatizo basi, lakini nakosa biashara ya kufanya, mda mwingi nashinda kazini, nilishajaribu...
Natumai mu wazima tena siku hii ya leo mkiendelea na mapambano dhidi ya umaskini niwape pole sana na niwatie moyo tu mapambano ni magumu ila tutashinda pamoja.
Bila kupoteza muda nianze moja...
Nina wazo la Biashara, ambalo natamani nilifanye lakini sijajua mtaji wake ni Tshs ngapi ili niweze kuifanya biashara hii kwa ufanisi na kuwapa wateja wangu ile kitu roho inapenda, wazo lenyewe...
wakuu amani kwenu! kama kuna mtu aliwahi kusajiri kampuni ya usafi hapa dar au aliwahi kusajiri kampuni yoyote ana tin namba ya TRA na leseni ya biashara lakini kampuni yake ipo kwenye document tu...
Hii nimeitoa CNN so nadhani ipo genuine.
Remgro, founded in 1941 by Anton Rupert, South Africa
In 1941, Anton Rupert, an Afrikaner South African businessman, started manufacturing cigarettes...
Serikali: angalieni upya huu uwekezaji. TANCOAL kampuni inayochimba na kusafirisha makaa ya mawe inasababisha wananchi kutotumia barabara, kutokana na Wawekezaji hawa kupitisha magari makubwa...
Wakuu habari za shughuli.
Ninaomba msaada wenu katika hili,
Nina mpango wa kujenga frems kadhaa maeneo ya mkuranga,ningependa kujua makisio ya kujenga frem kwa ajili ya biashara.
Heshima kwenu
Habari wana jf jamani mimi nimemaliza chuo nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio, nimebahatika kupata tili za mpesa na,tigo pesa sasa nauliza jamani kama kuna mahali naweza kupata mkopo...
JE UNA MTOTO MDOGO WA CHEKECHEA AMA DARASA LA KWANZA AMBAYE UNGEPENDA AJUE KIINGEREZA NDANI YA SIKU 30 ?
"SHINE VISION ACADEMY NDO JIBU LA MAMBO YOTE"
Ni shule ya Mchepuo wa...
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent...
Wakuu, nimekuwa nikishawishiwa na baadhi ya rafiki zangu kujiunga na biashara ama shughuri zinazohusiana na kampuni ya telexfree. Nimekuwa nikipewa maelezo yanayo onyesha dhahiri mafanikio makubwa...