Mpaka sasa nimebahatka kua na jumla ya Tsh milion 3, toka zamani nina wazo la kuanzisha saloon ya kiume ambayo ni ya kisasa kabisa na mtaa ninao kaa mpaka sasa ipo saloon moja tu ambayo sio ya...
Nilikuwa natafuta taarifa kuhusu forever living products na GLD. Lakini hata hivyo,sijaelewa zaidi. Nimepata na taarifa kutoka kampuni ya Amezcua au QNET wale watengenezaji wa bio disc. Wao...
Habari JF.
Sina nyumba,sina gari wala kiwanja, wapendwa wapi nitapata mkopo wa laki tano usio na dhamana hizo hapo juu,
Lengo la mkopo
Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kochi sasa nina shida ya...
By Correspondent
21st February 2010
An apartment
From Mlimani City village to Mbezi Beach Suburb, Mikocheni to Masaki, the emerging construction of furnished apartments is driving the...
wapendwa mwenye kujua namna ya kufanya calculations za USED MOTOR VEHICLE VALUATION SYSTEM anisaidie.
Gari hii nitalipa ushuru kiasi gani
SUZUKI / ESCUDO
Model ...
Tafadhalini sana nilisoma hapa kweny jamvi mmoja wa wanajamvi alisema aigundua njia rahisi sana na shortcourt kupata kibali cha kufug kwale na kanga maliasili hapaTanzania. Nnaombeni sana...
Wana JF Habari. Jana maada hii niliipelekwa kwenyejukwaa la "COMPLAINTS" nikashauriwa niilete hapa kwani ndo mahali pake ssahihi.
Ni kwamba nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi...
Wana JF nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi yetu. Mara nyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa deni la nchi linaongezeka kwa kasi. Nikirejea kwa wananchi wa kawaida pindi...
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?
Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara
Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku...
Wadau,
Nami nimeamua kujitosa kulima katika msimu huu, shamba alangu liko kisarawe, nahitaji mbegu za mahindi ambazo ni za muda mfupi kwani mwaka huu inaonekana mvua zitanyesha kwa muda mfupi...
Kwa wenye uelewa na suala hili,naomba kujua tofauti kati ya biashara yenye registered business name na kampuni. Je unaweza kuwa na biashara yenye business name na baadae kuibadilisha na kuwa...
Habari wanajamvi la biashara. Mimi na ndugu zangu tumeamua kujikwamua kiuchumi tunatengeneza viatu vya matairi( slippers) sasa Ugumu ni kupata hiyo matairi Mabovu ya magari (Matairi makubwa).. kwa...
Mimi ninafanya biashara ya m pesa na jamaa yangu fulani, ktk hiyo kaz till zote za kufanyia kaz ni zangu.Tumefanya hii kaz takribani mwaka mmoja na mtendaji wa kaz ni mimi muda wote,ilitokea...
sio kuwa nawadharau wabongo lakini kiukweli kwenye ishu ya matangazo ya biashara kenya wako vizuri mno. Matangazo yao ni mafupi yanayovutia na kuleta ujumbe Maridhawa. Si vibaya tukaiga kilicho...
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii...