Natoa rai kuwa serikali iwakate pembe tembo wetu wote, kama ambavyo ng'ombe hukatwa zihifadhiwe na serikali.
1. Kwa namna hiyo tutaweza kuhifadhi uzao wao, maana hawatawindwa tena na majangili...
Written By Admin on 26 January 2014 | 18:08
These are the 10 most successful African family businesses that have been growing for decades. Their founders all passed the baton to succeeding...
jf natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mm nipo mbeya nataka nitoe mwanza to mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zake ni...
Hivi karibuni Ndg. Ludovick Utoh, Mkaguzi naMdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),alisema kuwa hali ya nchiya Tanzania kiuchumi kwa maana ya mapato na matumizi si nzuri na kwamba deni laTaifa...
Wana Jf naomben mnisaidie ni dawa gani ya kuua magugu na majani kwenye mpunga bila kuleta madhara kwenye zao? Na kuna majani aina ya NDAGO majani haya huwa yanakuwa na mafundo kwa chini kama...
Naombeni mnijuze ninyi wakazi wa dar, nataka kununua Gari Japani kupitia Be forward, Je hilo tawi la dar es salaam linaweza kunifanyia clearing nikaipata gari? Itachukua siku ngapi mpaka gar iwe...
Wanajamvi wataalamu na wazoefu wa ujenzi,
Nyumba za NSSF zenye ukubwa wa 125 sqm (built up area) zinauzwa TZS 114,000,000. Naomba mnijuze hii bei ni realistic au magumashi?
Ndugu wana Jr mimi niko mwanza nataka kujenga banda la kufugia kuku wapi naweza pata ramani nzuri ya banda zuri iliniweze kuanza kufuga kuku wa kienyeji
ninampango wa kufungua duka la vifaa vya computer na pc zenyewe niko arusha ila sijajua bado ni wapi naweza kununua hivo vifaa kwa bei nzuri ili na mimi nije ni uze reja reja na kupata faida.ni...
Tangu Tigo Pesa msimamishe kusajili mawakala wapya wa Tigo Pesa, kwa sasa line za uwakala zinapatikana kwa mawakala wakuu, ambao wanaziuza hadi sh 500,000, kutokana na uhitaji kuwa mkubwa. kwa...
Jamani nisaidieni namna ya kupata kibali kwa urahisi maliasili mnrt nataka kufuga kwale na mbuni tafadahali nisaidieni.nasikia kabla hujaanza kufuga lazima uwe nacho please wadau mnaojua
Wana JF nina jukumu moja kubwa la kuhamisha hela kutoka benki moja kule Scotland UK ili nizihamishie benki ya hapa Tz tawi moja la NBC. Ni zoezi ambalo limepitia mchakato mrefu kiasi na sasa niko...
Perfect Pages Comercial English Official - YouTube
For more details of how can you benefitfinancially from this Directory check this page
http://www.allcakez.com/perfect-pages/
Habari wana JF,
Naomba anayejua aniambie ntakapo pata viatu vizuri vya ngozi (sendozi/makubazi) vya kike na kiume kwaajili ya kuuza, kuna mtu ananiambia Arusha ni bei rahisi na kuna viatu vizuri...
Nimeshuhudia wakulima wengi Morogoro wame elekeza nguvu kilimo cha vitunguu. Baada ya dadisi dadisi baadhi ya wakulima wamekiri kilimo cha kitunguu kinalipa(eka inazalisha hadi kilo 5000...
habari,
kwa wale wanaohitaji kulima hasa maharage mashamba ya kukodi yanapatikana na unaweza kulima mara3 kwa mwaka na kiwango cha chini ni gunia5 kwa heka,,
kwa wafugaji pumba na mashudu...