Nauliza-- mtandao wa Internet wa Sasatel uliongia kwa mbwembwe kubwa mwaka 2010 ndiyo umekufa kabisa? Nauliza hivi kwa sababu tangu jana jioni ulikuwa haupatikani.
Jee wenzangu mnaotumia huduma...
Hellow,
Mimi ni mjasiriamali ninayebuni vitu mbalimbali kwa kutumia vitenge.Nakaribisha wanunuzi wa jumla na reja reja, anayehitaji anipm nimtumie picha
Rwanda imetajwa kuwa nchi inayovutia zaidi wawekezaji na kusajili kampuni no saa 24 tu unakuwa ushakamilisha na hakuna longolongo kama za kwetu.
Hii imevutia wafanyabiashara wengi kusajili...
Nategemea kusafiri kwenda Lubumbashi, tarehe za mwisho wa mwezi January au mwanzoni wa feb. Je maeneo hayo kwa sasa ni salama kwa wageni, kama mimi kutoka bongo? Nilisikia kama tetesi za vita au...
Wadau habari za leo, nina hitaji kununua control box ya 'excavator mashine' aina ya volvo - PC220. Wadau naombeni ushauri haswa ni wapi nitaipata iliyo imara, sababu hapa nchini kwetu bidhaa...
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio...
Benefits for members
a business directory that is listing highly recommended businesses only
the deepest discounts, exclusive deals, cash back, coupons, bonuses...
Tunauza azamtv decorder kwa sh.105000 +12500 malipo ya mwezi fundi juu yako mafundi wapo kwa wateja wa mkoa bei ya jumla ipo wasiliana 0763252424 utasafirishiwa hadi mkoa bei nafuu
Wadau naomba mwenye maujuzi anijuze kama kweli hawa akina zakayo wamenikata kodi kihalali. Mimi nimemaliza mkataba wa miaka miwili ya ualimu. Nilikuwa nawekewa gratuity ya asilimia kumi na tano ya...
Habari wanajamii,Naomba kufahamishwa, kuna document (siifahamu jina) ya uendeshaji/ utendaji inayoonesha jinsi uongozi wa project au kampuni na wajibu wa kila mmoja. Mfano meneja atafanya hiki...
Why should Tanzania replicate the protectionism attitude on Kenya's airlines?
During the end of November of last year the prospects of affordable aviation services became a reality when...
BUSINESS IDEA SUPPORT - BIS in Food Production Mbeya Food inapenda kuwajulisha wajasiliamali wa jiji la mbeya au nje ya Mbeya kuwa sasa tunasaidia kuanzisha biashara yoyote ya kutengeneza aina...
Hello to all....! I would like to share with u beloved friends of mine these good news, I am named as it's seen on my JF page, I'm currently working as an Assistant Finance & Administration...
Watu tunaumiza sana vichwa kuhusu miradi ya kiwango cha chini na cha kati kwa ajili ya kuinua uchumi binafsi na kifamilia. Hizi picha hapo juu utaona miradi ya aina hiyo imetapakaa kila kona...
Habarini wanajamvi
Nina mpango wa kufanya biashara ya asali na nimefanikiwa kupata mtu wa kuniletea tayari kwa ajili ya mimi kufanya packing na kuuza,lakini nimekwama katika process za kuibrand...