Habari za wakati huu wadau
Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa
- Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment)
Mada hii ni...
Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa...
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha...
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
UPDATES : Friday 31st
Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza.
Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT...
Habari za wakati huu,
NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na kudumu katika ujenzi wa taifa lenu.Kama ilivyo ada leo nimeona nilete mjadala kuhusu soko la HISA la Dar es Salaam.Msingi wa...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Nimetokea kupenda sana kufanya kazi ya kupiga picha kwa sababu nimekuwa nikitumia sana simu kuwapiga watu picha na wamekuwa wakipenda sana kwani ninawapiga picha vizuri sana.
Mimi kipato changu...
Asalaam,
Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo.
Ahsanteni.
Wakuu, ukweli ni kwamba tangu suala la kuagiza Dreamliner lilipotangazwa, niliingiwa na wasiwasi sana juu ya uwezo wa ndege hii kujaza abiria kwa safari za ndani na nje.
Wasiwasi wangu umezidi...
Habari wana jukwaa.
Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua nitaanza na mtaji kiasi gani.
Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
Wakati serikali inajitahidi kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana kwa kutoa mikopo nafuu kwa vijana kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biashara na shughuli mbalimbali za ujasiriamali...
Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye haya maisha ni labda utajipanga ili uweze kupata kile unachotaka au utapagwa na wengine uwasaidie kupata kile wanachotaka.
Ni uchague kupambana kufikia kusudi na...
Habari za muda huu wadau.
Pole kwa majukumu
Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel.
ningependa kujua kuhusu;
-jinsi ya kuandika business plan na proposal
-location kwa mkoa wa...
Nguvu ya KIAPO.
Habari ya asubuhi mpendwa wangu!!!!
Ni matumaini yangu uu, buheri wa afya. Namtukuza Mungu kwa ajili yako.
Rasmi kabisa nakutaarifu, juu ya ujio wa riwaya yangu mpya iitwayo...
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko.
Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani...
Jamani naombeni mnisaidie kwa wenye uelewa juu ya jinsi ya kuwa agent wa azam ice cream[emoji120].
Au kama kuna contact yoyote ya expert please mnisaidie.