Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kupata elimu kidogo kwa kinachowezekana kutokea kuanzia July mosi juu ya Dollar Vs Tshs. Naomba kuwasilisha.
Wiki iliyopita nilienda kkoo kwa lengo la kununua tv hasa hisense smart 43 inch na nilizunguka maduka mengi ya pale kkoo ila na huwa napenda kuuliza maswali ya kutosha kabla sijanunua bidhaa...
Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri.
Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi...
Introduction:
As the year draws to a close in Tanzania, taxpayers find themselves entangled in a web of concerns that casts a shadow of unease over their financial landscape. The intricacies of...
Katika kuagiza bidhaa China tuanzie mfano huu wa alibaba.
1-kwanza itabidi ufungue sanduku la posta katika tawi lolote lililo karibu na wewe
2-itabidi upate account ya benki na uwe unamiliki...
Habari za jion wana jeifu.
Ndugu zangu nimeamua nimfungulie mama watoto biashara ili asikae home kizembezembe nae ajifunze kutafuta hela.
Biashara ni kuuza vinywaji kwa jumla kama bia, soda...
💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO;
1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani...
Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho.
Nakumbuka kuna kipindi...
Ni rahisi sana kumiliki App yako ya biashara. Njoo na wazo lako Syslog Company Limited tutalifanyia kazi. Tupigie /WhatsApp 0754446773 | Email: info@syslog.co.tz
KODI YA ZUIO NI NINI?
(Withholding Tax) Ni kiasi kinachokatwa wakati malipo yanapofanyika kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
"Eng Evans amepanga nyumba kwa Bw. Noah kwa ajiri ya kufungua...
Salaam wanajukwaa,
Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha...
- Rais Samia aelekeza mitambo miwili kwa ajili ya wakina Mama na Vijana
- Waziri Mavunde agawa Leseni kwa wakina Mama wachimbaji Dutwa-Simiyu
- Awataka STAMICO kuendelea kuwasimamia na...
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata...
Habari,
CITIZEN CARGO LTD Tunatoa huduma ya Usafiri wa Parcel, Vifurushi, Mizigo Mikubwa na Midogo.
Kutoka Dar es salaam Kwenda Mikoa Yote Tanzania
Mizigo yako itasafirishwa kwa haraka na...
Wasalaam,
Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania?
Kampuni yenye unafuu wa gharama.
Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
Nawasalimu wana jf popote mlipo na heshima kwenu, Naombeni msaada katika kutafta giant shipping company nimepata hao wawili lengo langu kuna mzigo.
Nataka ufike ndani ya siku 40 Je ni yupi kati...
KOROSHO BOMBA ni wauzaji wa korosho kutoka Tandahimba, Mtwara kwa jumla na reja reja. Tunapatikana Mbagala Rangi Tatu, jijini Dar es salaam.
Bei zetu ni;
1) Korosho mbichi nyeupe ni Tsh. 15,000...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account...
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa...