Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

As a proud and patriotic Tanzanian citizen, I feel compelled to shed light on the current state of Police Mess Masaki in Dar es Salaam. This prime facility, located on the cliff of Coco Beach with...
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mwanafunzi wa chuo nipo mwaka wa pili. Nina jambo langu nahitaji nishiriki nanyi humu ndani. Nina pesa kama Mil 1.3 nahitaj nifanye biashara lakini biashara niliyonayo...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Natumaini mko poa Nina miaka 24 sasa.nilitoka nyumbani nikiwa ni miaka 22 na kuamua kujitegemea ,niliondoka nyumbani nikiwa na elfu 50 mfukoni nikaenda geita kutafuta maisha. Sikuwa na ndugu...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya...
2 Reactions
7 Replies
521 Views
Habari zenu wana group! Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4. Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora. Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
10 Reactions
34 Replies
7K Views
Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi...
5 Reactions
6 Replies
607 Views
NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh...
1 Reactions
5 Replies
994 Views
Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Inatia hasira. Wana fedha kaeni mkijadiri iweje jero ya kiwe 10elf ya bongo. This is not right
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Waziri Mwigulu asema ‘Wajasiriamali kuna Bilioni 48 mtakopeshwa’ Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, kwa mwaka 2024, Mfuko wa Huduma Ndogo za Fedha – SELF unatarajia kutoa mikopo yenye...
2 Reactions
7 Replies
416 Views
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo...
10 Reactions
65 Replies
13K Views
Habarini wakuu, Ninaomba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo! Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
0 Reactions
3 Replies
932 Views
UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA...
17 Reactions
38 Replies
42K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema kundi kubwa la vijana ambao ni Boda Boda Ni miongoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe...
0 Reactions
13 Replies
930 Views
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post. swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M. Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama" Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…