Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

2/6/2024 Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako. Nilipo mimi Kilimanjaro Moshi mtaa wa chekereni ni 25000
0 Reactions
2 Replies
533 Views
Hili suala liko wazi kabisa. 100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete. Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya...
13 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo: 1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani. 2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam. 3)...
3 Reactions
3 Replies
640 Views
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida...
24 Reactions
97 Replies
6K Views
Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi...
2 Reactions
4 Replies
966 Views
Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya...
2 Reactions
6 Replies
625 Views
Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
6 Reactions
5 Replies
638 Views
Wakuu habari zenu. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
9 Reactions
106 Replies
5K Views
Habari wa jf Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku. Naomba mwenye uzoefu...
2 Reactions
2 Replies
550 Views
Nimewaza kuanzisha biashara ya kutoa mashudu mikoani na kuyauza Dar. Naomba kujua soko na changamoto ya biashara hii.
1 Reactions
7 Replies
861 Views
Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu: Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo...
28 Reactions
145 Replies
9K Views
Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu...
2 Reactions
0 Replies
386 Views
Kadiri mabadiliko ya tabia nchi yanavyoongezeka ndivyo mwanadamu anavyotafuta mbinu zaidi za kujihami. Sasa hivi upo mpango wa kutoa malipo kwa Watz waliopanda miti kwa wingi ktk eneo moja. Kwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:- Uaminifu Kujituma Unaona aibu Wapo watu wengi wana mitaji midogo...
14 Reactions
35 Replies
1K Views
Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha...
9 Reactions
10 Replies
742 Views
Amani iwe kwenu, Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi. Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika: 1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora. 2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano...
5 Reactions
18 Replies
842 Views
Wakuu Asalaam, Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam. Nashukuru kwa...
0 Reactions
14 Replies
627 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…