Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana Jamii, Naomba kufahamu supply company wa construction equipments ambapo naweza kupata TERRA HARMER. Hii hutumika kuchimba sehemu ya barabara au reli bila kuharibu barabara, pale unapotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wanajf wenzangu. Katika thread hii nimeanza kushare kile ninachopata, Natumaini itawasaidia wengi. For any question or doubt,lets discuss and come out with reasonable conclusions for...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, kampuni za TBL na SBL nasikia wameanzisha kilimo cha mkataba cha mtama kwa ajili ya kutengenezea bia. tafadhali mwenye details zaidi na uzoefu anijuze. nataka kuinvest katika hicho kilimo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Na Joseph Zablon SERIKALI imetakiwa kuyafanyiakazi mapendekezo yaliyotolewa na wachimbaji wadogo wa madini kupitia Chama cha Wachimba Madini Wanawake (TAWOMA), wakati wa mkutano baina ya wadau...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bom
Hi all, I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined. It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
magogo na mbao zake mi ninayo magogo,,,kwa anayeitaji anambie nipasue size gan,,,atanunuaje kw kila size,,,
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania efforts to attract more investment will bear fruits only if the government chooses to address insecurity, physical infrastructures and ensure stable power supply. The chairman of the...
1 Reactions
1 Replies
938 Views
I suffer from being overweight, has tried many methods and diets. But nothing happens. Can anyone tell me other solutions?
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Nina azima ya kusajili kampuni ili nifanye biashara kama insurance agent, nilipotazama kwenye TIRA website, nikaona masharti yameanishwa na mengine yananitaka nifanye mambo kadhaa, ikiwemo ya kuwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani wanaJF, naomba kuuliza financial institutions zinazotoa soft loans zenye riba nafuu. Pia naomba anayeweza kunielewesha kuhusu mikopo kwa mfumo wa karadha.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Unaenda hotel unaambiwa ina usalama wa kutosha, unajisikiaje? Na mwonekano wake uko poa, uzio mnene, na security guard akiwa getini. Kwa upande wangu huwa napende kujua hali halisi ya usalama wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua kama kuna mahali wananunua simu used.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.......................
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Natafuta gari la kununua. Napendelea zaidi Suzuki Escudo ambazo si V6 au RAV4. Liwe katika hali nzuri kimuonekano na lisiwe na matatizo ya kiufundi. Kama unalo au unajua mtu...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwaanae fahamu bia shara ya duka languo nimkoa gani linatokasana kibiashara
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL. Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kafulila, baada ya kuchambua namna ambavyo serikali inashindwa kudhibiti inflation, akamaliza kwa swali hilo...jambo ambalo ni la kweli kabisa. Tanzania inaagiza kuanzia tooth pick hadi ndege...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Hi niaina ya security system ambayo tunaweza kukufungia ndani ya Nyumba, Duka au Ofisi. Hi security system ina sense movements baada yakuiwasha. Inakuwa pamoja na sensor ya milango kama mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jamvi habari zenyu? Naomba msaada kwa anae fahamu kodi ya chumba pamoja na flemu ya duka kwa mkoa wa Mbeya ni Kiasi gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je unajua kuchora cartoons za vichekesho lakini huna platform ya kuwafikia watu? Kama wewe ni mmoja wao, wasiliana na mimi kwa Private Message tuongee zaidi.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…