hiki ni kiwanja kilichopo maeneo ya Misugusugu - KIBAHA upande wa kushoto kama unaelekea DSM.
umbali:- ni kilometa 1 toka morogoro road ukubwa:- ni ekari 2 (na inazidi kidogo)
hati/offer: hakina...
wakuu naomba mnisaidie majukumu ya hawa watu wawili juu ya wafanyakazi na mwenye kampuni/firm fulani.
Nimeileta hii maada kwa kuwa kila kunapotokea kuna mgomo kampuni fulani utakuta/kusikia...
The government has been urged to urgently address the plight of the millions of Tanzanians who have been hit hard by biting inflation reflected in rising prices of basic foodstuffs, water and...
Nina Fremu ambayo atakuwapo mdogo wangu fundi mwanafunzi ambaye bado hajawa mtaalamu hasa na kupata ozoefu baada ya kumaliza kusoma
NATAFUTA FUNDI MWENYE UZOEFU ILI TUPATANE AKAE KWENYE FREMU...
Hizi dhana mbili za inflation(mfumuko wa bei/kupanda kwa gharama za maisha (kutokana na ongezeko la fedha)) na deflation(punguzo la jumla ya fedha zitumiwazo ili kudhibiti bei) zimekuwa...
Naomba msaada wa kujua kama kuna mtu anaijua website, inayoshughulika na exporting light duty construction equipment kutoka Japan.Nazungumzia vifaa kama double roller double drum, asaphalt cutter...
Wadau hali kwa sasa inatisha sana, Nimelazimika kuacha kunywa bia, soda na juyce kutokana na bei zake kupanda ghafla kabla hata mshahara haujabadilika. Hata maji inabidi nichemshe haya yakawaida...
salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa...
The Export Processing Authority (EPZA) has partnered with the Tanzania Ports Authority (TPA) and Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) to establish the Mtwara Freeport Zone by...
It was interesting passing through the IFM career Day on Saturday 28th. IFM departments competed against each other in challenging presentations and I was totally impressed. It was also good to...
Wakuu mpo?
Kuna biashara ya kuuza mchanga kwenye malori, kuna watu wananunua pande la ardhi lenye mchanga, kisha wanaomba kibali cha kuuza mchanga. Jamaa anakaa ktk pande lake akikusanya hela kwa...
Jamani kuna kifaa kinaitwa kip tech kinatangazwa kwenye tv kwa ajili ya cooling system badala ya feni au AC. Naomba kusaidiwa maswali yafuatayo. Je bei yake ni sh ngapi? Ina faida gani...
Kwa yeyote anaefahamu naomba alinijulishe kama kuna faida yoyote mkulima anayoweza kunufaika nayo kutoka kwenye program ya kilimo kwanza kama mafunzo, dawa za mimea na mbolea. Kuondolewa kodi...
Ninahitaji kufungua kampuni in partnership na mtu ambaye si mtanzania, process zote zitachukua muda gani hadi kupewa certificate? Ni vitu gani ntahitaji ambatanisha napoenda sajiri?
Nimeshapitia...
Sun, Apr 29th, 2012
Tanzania |Sunday, April 29th 2012
Former German kaolinite mine at Pugu Hills Forest Reserve
Huge reserves of certified high-quality kaolin deposits lie beneath the...
Hizi dhana mbili za inflation(mfumuko wa bei/kupanda kwa gharama za maisha (kutokana na ongezeko la fedha)) na deflation(punguzo la jumla ya fedha zitumiwazo ili kudhibiti bei) zimekuwa...