Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wakuu habari zenu nina wazo ambalo nimeona nije niongee na nyinyi Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuhusiana na swala zima la mziki pamoja na movies za kibongo kwa kusema kuwa wanaonewa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana jamii ninahitaji mbao za trited 4X4 kati ya Ft 18 mpaka 20 PC 200 nina 2,000,000/= nipo D.S.M simu 0715 934398.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
0 Reactions
18 Replies
11K Views
hapa ni mwanza zaidi soma hapa kwa michuzi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu kama kuna mwenye kujua incubator za kukodi au kununua ndogo za matumizi ya kawaida nnyumbani ani-PIM please. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hello wana JF WENZANGU! JAMANI MWENZENU NATAFUTA CHUMBA TANGA MJINI, NA ISIWE MAENEO YA CHUMBAGENI...KAMA KIKIWA SAFECONTAINED NTAFURAHI ZAIDI. NISHAPEWA NOTISI INAISHA MWISHONI MWA MWEZI HUU...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania can benefit from natural gas by empowering peopleSubmitted by Jacques Morisset on Fri, 2012-03-16 11:55 If you are looking for a house in Dar es Salaam, hurry up. With the recent...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Niaje? Kwasasa nafanya research kujua ni vitu gani vinasababisha watu binafsi kushindwa kufanikiwa kujenga biashara zenye mafanikio. Ni vitu gani au matatizo gani yanasababisha watu kushindwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani me nataka kuanza biashara kufanya biashara hiyo lakin naomba mniambie ni wap kuna soko zuri kwa hiyo bznec!ntashukuru mkinijibu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Place - Tabata Bima Rooms - kitchen, sitting room, dining room, public toilet, 1 bedroom, 1 master bedroom Facilities - fenced with enough parking for 2 cars, water reserve 2 tanks of 5,000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi poleni kwa majukumu.. Mimi ni mtanzania ambaye nina nia ya dhati kuanzisha kampuni itakayokuwa inajihusisha na maswala ya kilimo.. Tafadhari naomba nisaidiwe taratibu na namna ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
HAKUNA HAKI BILA WAJIBU Napenda kuwakumbusha wana JF Hususani wadau wa BIZ kuwa nchi yetu ina fursa nyingi sana. Ni wakati sasa wa kuzitumia. Baada ya kuhudhuria semina nyingi, warsha...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Well: Well: Well: Leo alfajiri (saa 11 CAT) nikiwa nasikiliza BBC (Swahili Service), nimemsikia afisa wa IBM (T) - David Sawe - akisema kuwa wapo kwenye mkakati wa kujadiliana/kuishauri serikali...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani wadau naomba mnishauri kuhusu yafuatayo.Nahitaji kufanya biashara ya kusafirisha alizeti lakini sifahamu ABC yake,vile vile kuna watu wananishauri nifanye kusindika kabisa ili nipate faida...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wote wanaoagiza bidhaa kutoka nje kwa kutumia njia ya meli, sasa unaweza ku-share container kwa kutumia mtandao mpya nilioufungua February. Kama kawaida, njia nzuri ya kujikwamua katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeshtuka usingizini,baada ya simu yangu kutoa mlio kuashiria kwamba nimetumiwa message(sms). Kufungua sms,imetoka vodacom kwenye number 15500 inasema ''Fabrice Muamba wa Bolton Wanderer,bado...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nafanya biashara ya simu original kwa wewe unaehitaji kwa bei rahisi sana na mpya kabisa, kuna htc desire 700,000 na nokia e72 kwa 250,000. Unaefahamu simu utajua bei zake dukani contact me if...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani mimi nilikuwa mmoja wa watu walionunua hisa za Precision Air, nashangaa hadi leo ni kimya sijawahi kupigiwa simu wala kutangaziwa chochote thr media Precision Air vipi au ni DECI no...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…